Mpiga nyeto mmoja uliekosa kazi ya kufanya kwa hilo bando lako.....
 
Hakii nimelia sana maana kupoteza stimu zangu kisa kusoma kisa Cha single mother tena
 
Mzee kuna watu wanafaidi; huwa unatembelea kweli ule uzi wa pisi kali?
Ndiyo mkuu huwa napitia ile thread, pisi kali usije jaribu kuweka kambi hata siku moja, utakufa mapema...

Just imagine kila mtu anaona hiyo ni pisi kali + pisi kali yenywewe haina msimamo πŸ˜€πŸ˜€, what next???
 
Umesema ukweli mtupu ata mimi naona hivyo hivyo kwasababu mwanaume aliye kamilika na akili zake timamu anaanzaje kuoa limwanamke limeshindikana huko lilipo toka
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Jeuri na kibuli, Mwanamke kiburi na jeuri uchumbani ni sawa na mtu aliebanwa na mkojo kwenye basi atajibana utaona umepata wife material anasubiri ndoa achimbe dawa.

Hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia dharau, kiburi na gubu, hayupo mwanaume uyo !! huwa tunaumia sana na kuteseka mno kutenganishwa na watoto wetu tuliowazoea inauma sana ila kama haijakukuta huwezi elewa maumivu ya kutengana na mwanao kisa tu limama halijielewi, unavumilia kisa mtoto ila inafika kipindi una give up.
 
Upo sawa, ndoa ni muungano wa watu wawili wenye jinsia tofauti walioelewana kuishi pamoja kwa ajili ya kuanzisha familia moja ikiwa pamoja na kuzaa watoto. Mmoja wa wanandoa anapokua haeleweki yaani hafuati misingi ya ndoa maisha yao ya familia yanakuwa batili na ni bora wakaachana kwa usalama
 
tupe kisa chako tuelewe mkuu
 
Wanawake wanapata presha kubwa sana ya kuolewa kutoka kwa wazazi na marafiki zao walioolewa, hii inafanya hata wale wahuni kujishushe kipindi cha uchumbani utaona umepata wife material, ukishao ndio unajua kama umeuziwa mzigo wenyewe au mbuzi kwenye gunia
 
Nmetoka msibani, mchungaji nae kasema single maza mwanzo mwisho, nkajiuliza hvi ajui kuwa huyu tunae mzika ameacha mke mdogo tu,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…