Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Kumbe kazi ya askari ni kuua si kujeruhi ili mhalifu akamatwe kirahisi! Serikali ya shoot to kill?! Mama tubu kwa Mungu mtamaliza raia wema kwa mtindo wenu huu, yaani mnajisifia kuua!
 
Kumbe kazi ya askari ni kuua si kujeruhi ili mhalifu akamatwe kirahisi! Serikali ya shoot to kill?! Mama tubu kwa Mungu mtamaliza raia wema kwa mtindo wenu huu, yaani mnajisifia kuua!
Raia wema hawawezi kumalizwa, yatamalizwa majambazi, na wale wote wasiolitakia mema taifa Hili..!
 
Mama yetu Samia tuna kuheshimu sana jizuie ulimi wako usinene yasiyo haki au ushalewa sifa kuwa u mweupe na u mzuri ?

Huu ndio ukweli hakuna askari mwenye mafunzo apige risasi kumi na sita akose hahahah chadema ndio walumpiga risasi lissu kisa Urais! Lissu amepigwa na watu wa chadema
 
Mama yako anakipi Cha ziada, kinachofanya ukashifu mama wa wengine, kwa kumuita taahira[emoji23]?
We jamaa emb acha kubweka [emoji2788] humu[emoji848], pengine labda hata huyo mama yako Ni mnufaika wa ule mfuko wa TASAF kusaidia Kaya masikini...!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] jibu sahihi kabisa kwa huyo malaya.
 
Yawekeni hadharani sasa
 
Jamani hivi bado Chadema hamuelewi kwamba Lissu alipigwa Risasi kwasababu ya nafasi ya Mwenyekiti πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜
Huu ujinga bakieni nao huko CCM mlipolala lakini kwa walioamka hawana mda wa kusikiliza propaganda za kishamba namna hizo
 

Hakuna kitu kama hicho...ukweli ni kwamba kama askari wetu wange husika kumpiga Risasi wasinge mkosa kabisa na asingekuwa hai kabisa
 
Kwa hiyo mama anataka kusema nini?
Yaani kwa mfano Lissu angepigwa lisasi tatu tu na kufariki hapo ndio tungehitimisha kuwa hao waliompiga Lissu ni askari wa serikali ya CCM!
Hiyo ni akili ya uwendawazimu.

Hivi huyo mama anajua kuwa waliomuua Rais Abeid Karume kule Zanzibar walikuwa ni askari wa serikali ya CCM na walimimina zaidi ya risasi kumi mwilini mwake?

Hivi huyo mama anajua kuwa waliomuua aliyekuwa mkuu wa idara ya usalama wa taifa, Imrani Kombe kule Kilimanjaro walikuwa ni askari wa serikali ya CCM na walimimina zaidi ya risasi tatu mwilini mwake?

Mama anapaswa kutuambia kwa nini mpaka leo hii wahusika wa tukio lile la kutaka kumuua Lissu hawajatafutwa, kutajwa, kukamatwa na kushtakiwa na serikali?

Kama mama Samia anawajua wahusika wa tukio lile la shambulizi dhidi ya Lissu basi awataje, na kama hawajui (ama anaogopa kuwataja) ni vyema akakaa kimya, kuliko kuchokonoa mzinga wa nyuki.

Ni bora hata mama Samia angetuambia basi kwa uchache ni akina nani walimlisha sumu Mzee Mangula akiwa ndani ya ofisi kuu za CCM kiasi cha kuponea chupu chupu kupoteza maisha.

Mwisho napenda kumwambia mama Samia anapaswa kufahamu tu, kikulacho kiko nguoni mwako, asitukane mamba kabla ya kuvuka mto, kilichompata Lissu huenda kitakuja au kingeweza kumpata mtu mwingine yoyote katika Tanzania hii ya sasa.

Yote kwa yote, mama Samia anapaswa kujua Karma ipo, na ipo siku itajibu mapigo. Namkumbusha tu Dr. Omar Ali Juma alifariki ghafla kwa mshtuko wa moyo (Cardiac arrest) mwaka 2001 akiwa makamu wa rais wa Mkapa, ambapo miaka 19 baadaye Mkapa naye alifariki ghafla kwa mshtuko wa moyo (Cardiac arrest). Wote hao wanahusishwa na vifo vya wazanzibar kwenye maandamano ya mwaka 2001.
 
FBI na CIA waliopo ubalozi wa marekani walifanya uchunguzi wa siri ndipo wakawabaini Timu nzima iliyoraribu na kutekeleza shambulio hakuna siri tena washambuliaji wanajulikana vizuri baada ya uchaguzi watafikishwa ICC The Hague kujibu tuhuma zao.
 
Kweli pale walitumia baruti ndiyo maana hajafa
 
Ndugu haya ni maandiko hayajalishi cheo au umaarufu wa mtu kwa Mungu hvyo vyote havina nafasi.Na uzuri uislamu haurembeshi wala kufichaficha ikiwa Mtume amekosolewa nan mwenye cheo kumshinda yeye ktk uislamu?ktk hii dini hakuna kumtukuza mtu isipokuwa Mungu pekee,tafakar chukua hatua
Na mzazi wako wa kike akiwemo[emoji2788][emoji2788], Sasa bado nahangaika kumweka kweye kundi litakalo msatahili, either sherwani au jini.
Jifunze kuwajibu watu kwa staha, matusi sio hoja.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] jibu sahihi kabisa kwa huyo malaya.
Unajua, Hawa vijana wa Chadema kwa asilimia kubwa Wana hulka ya fujo na kauli za kifedhuri, Leo najiskia kwenda nao sambamba.Sasa Kama huyo anamwita Samia taahira, bila kujali pengine labda kamzidi umri.
 
Mama Samia mungu anakuona unajua! πŸ˜…
... haya bwana tunajua sio wewe na inabidi tu tukupige na leso!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌✌✌πŸ’₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…