Pauline rogat
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 339
- 196
Kamjibu anayesema kapigwa risasi na polisi, naimani mwenyewe kaelewa na wahusika wenzakeAlichokisema mama Samia ni kitu cha ajabu na hatari kwa taifa.
Mama Samia anapaswa kujua askari yoyote aliyefunzwa vyema hapaswi kufanya haya.
1/Kupiga risasi hata moja pasipo sababu.
2/Kukusudia kumuua mtu yoyote.
3/Kumdhulu mtu yoyote pasipo sababu.
Sasa, Mama Samia embu atuambue, hao askari wa serikali ya CCM wangewezaje kumimina hizo risasi sizizozidi tatu dhidi ya mtu kama Tundu Lissu, ambaye hakuwa na kosa lolote wala hakuwa na hatia yoyote.
RIP Chacha Wangwe!Ukikaa na shetani na wewe utakuwa shetani
Hakuna aliemsafi ndani ya CCM
Tumwambie tu huyu mke wa Coplo wa zimamoto kuwa wauaji waliowatuma kumuua Lissu hawakumkosa, walimpata, walimimina zaidi ya 30, na zote zililenga pale pale anapokaa Lissu kwa upande wa ndani. Hongera huyo askari kaiva kwenye shabaha.
Mliwatuma wakatekeleza maelekezo.
Ila hata siku moja shetani hajawahi kumzidi Mungu!
Nilikuwa nakuona ww mama mstaarab umekaa kimya haufungamani na hao wenzako, kumbe ulikuwa umeficha makucha, Lissu mliyomtwanga marisasi ya kutosha Mungu akasema no, huyu mtu ni mpango wangu, ni lazima aishi! Mna roho mbaya sana ninyi watu, sijui mwanamke gan ww, hukuzaa??
Nani amekwambia hawachunguzi kwani jarada limefungwa? Mrudisheni dereva aje ayatambue magari yale yaliyokamatwa. Uchunguzi unaanza na maelezo ya watu wazima muhimu waliokuwepo eneo la tukio. Hata ao wachunguzi wa nje wataanza na hao.FRubbish ,,sasa kama sio wao si waruhusu
uchunguzi huru kutoka mataifa ya nje tujue . Wao wameshindwa kufanya uchunguz wowote na kutuambia ni kina nan wahusika .
Kwann wanaweweseka sana na hili tukio ,
Unamaanisha kitu kigumu chenye ncha butu lainiHuyu mama Kuna kitu amekionja
Atakuwa anamaanisha lile bunge la 'gizani' linalopitisha Sheria na mipango ya 'kiharamia' inayolitesa Taifa masikini la kiTanzania.Unataja bunge lipi?
Hawa Wanawake ndio wanaotumiwa Sana na Hawa walafi wa madaraka kubaki ikuluAlikwenda Nairobi kumalizia baada 16 bila Mungu akamnusuru hapo mama UMENUKA
Huyu mama nimemshangaa sana , lakini alishawahi kutema pumba bunge la katiba akisema yeye hajaufyata Jusa ndio kaufyata , watu wa Zanzibar wanaelewa hii misemo , Ni hivi hi clip itunzwe kwa matumizi ya ICC The Hague naona wateja wanaongezeka , Hii ni uthibitisho kuwa CCM wamezidiwa hawana sera , wamejipanga kuanzisha fujo ndio maana wanaanzisha Mara majeshi ya akiba kinyume cha sheria Inayotaka jeshi lianzishe wakati wa Vita sio wakati wa uchaguzi .Huyu mama hapo kakosea.
Yako umeyamaliza hadi unakimbilia kufuatilia ndoa za watu na maisha yao?Huyu mama akitaka tuanze kutaja msululu wa ndoa zake zilizovunjika tutakuwa tayari
Kwa nini!?Hii kauli lazima ipo siku utajutia kwenye uhai wako
Hadi ajifunze ustaarabu , tulimstahi tu kutokana na umri wake lakini kwa vile ameshindwa kujiheshimu basi akae tayari , Liwalo na liwe !Yako umeyamaliza hadi unakimbilia kufuatilia ndoa za watu na maisha yao?