Mnapoomba kura hebu kuweni makini, msije kujikuta mmeingia kwenye hatia zisizo wahusu.
Maswali yangu kwako mama Samia Suluhu .
1.Kwa mujibu wa sheria ipi jeshi au askari wa Tanzania ni mali ya CCM?
2. Kama askari wa Tanzania (CCM) ana weledi wa hali ya juu katika shabaha kama ulivyojinasibu, je weledi huo haujajikita pia kwenye nyanja nyingine za kiusalama kuweza kuwapata wasiojulikana?.
3. Kama askari wa CCM (Tanzania) ana weledi wa hali ya juu kwenye shabaha ilikuwaje wahuni(wasiojulikana) waliweza kutekeleza shambulio pale area D Dodoma mahali ambapo wanalinda 24/7 kisha kutoroka bila kutiwa nguvuni?.
4. Je, ni askari wa CCM waliotekeleza unyama zidi ya Lissu na baada ya kufeli mission wamewajibishwa?.
Mama heshima yako ni kubwa, ilinde.
View attachment 1559187