Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Hapo umejipinda hadi kukiona kisogo chako!
 
Lissu amlete dereva Watanzania tupate ukweli. Kitendo cha kumficha dereva Ubeligiji kinafikirisha sana.

Pia maajabu mengine ya dunia. Lissu amekaa upande wa abiria ambao ni kushoto, risasi zinapiga mlango wa gari tena karibu na kitasa cha kufungulia mlango halafu zinajeruhi mguu wa kulia badala ya mguu wa kushoto!!

Mbaya zaidi na cha kushangaza mguu ulio upande risasi zinakotoka haukuguswa hata na risasi moja.

Halafu anasema alilaza kiti! Sasa wakati risasi zinamiminika alipata wapi nafasi hiyo. Pia ina maanaalipolaza kiti aliinua mguu wa kulia ukawa unapigwa huo tuuu!!

Pia alama za risasi kwenye gari zipo juu na sio usawa wa kiti kilicholazwa na mtu akalala!! Mama yupo sahihi kabisa!!

Queen Esther
 
Hivi jamani,hadi Leo hamjajua kua system ndiyo imemuweka pale Mbowe kwa kiti kile na inamlinda, jaribu na wwe kutamani kiti kile bila baraka za system uwone chamoto!!
Hakika hapa Kuna Jambo inatakiwa tulistuke.

Serikali ni Pana Sana Binafsi Upinzani wa Mbowe na Zitto nautiliaga mashaka Sana.
 
Dereva wa Lissu anawajua ndio maana wamemficha Ubeligiji!

Queen Esther
 
Like a father like a son. Una heshimika mama, ukianza kumfuata boss wako, utajumuishwa kwenye kundi la kudharaulika. Unajua kidogo sana kuhusu polisi wa CCM. Hawana mchujo wakati wanachukuliwa, hawapati mafunzo ya kutosha zaidi ya kuvaa crown na kutambua sare za wapinzani na kuwashughulikia. Wengi ni wavuta bangi. Kuwakweza askari polisi unawapa sifa si yao. Ni Hawa polisi ambao wakuu wa mikoa na wilaya wana waamuru kuwaweka watu ndani saa 48 bila kuhoji? Ni Hawa wanao kamata vijana saa 4 usiku na kuwaweka ndani ili wawanyang'anye fedha ndio wawaachie? Pole mama.
 
Basi ishauri serikali iruhusu uchunguzi huru kutoka agency za nchi za nje kuhusu upotevu wa Ben Saanane na Lissu kupigwa risasi.
Wambie viongozi wa CDM kwanza wakubali kuchunguzwa juu ya upotevu wa Ben.. Kabla ya kuisumbua serikali.
 
Huenda anajisahau, lakini aibu ni Kwako uliedhamiria kuua kisha ukashindwa
 
huu ujinga usijaribu hata kuongea mbele ya watoto wako sebuleni watakupiga makofi mbele ya mama yao
Acha kukimbia hoja Bali jibu hoja nayo Ni;

"Kwanini Zitto,Chacha,Ben,Lissu,Mwambe na Sumaye walipitia misuko misuko Baada ya kuonyesha Nia ya kuutaka uenyekiti wa chama?
 
Huyu mama hapo kakosea.
Amekosea nini? ana maana kuwa ASKARI ALIYEFUNZWA VIZURI KAMA HAWA WA TZ HAWAWEZI KUMPIGA RISASI 16 MTU AKAWA HAI!! Na ni kweli risasi 16 tena mwanzo walikuwa wanasema ni risasi 32 hata Tembo hawezi pona risasi zote hizo. Nafikiri Lissu atakuwa alipigwa risasi tatu ama tano hivi tena za kumparaza tu.
 
Hivi ameambatana na mumewe?isije ikawa nyege zimemzidi!!!kama mumewe hayupo natoa amri aitwe mara moja akafanye kazi yake!!!Maana sio kwa kuropoka huko!!!
 
HI
LI SUALA NI LAKULIANGALIA KWA JICHO LA TATU MBOWE ATAKUWA ANAMKONO WA HAYO YANAYOWAPATA WANAOTAKA UENYEKITI WA CHADEMA
 
Serikali ya awamu ya tano angalau ilipata heshima kidogo kwasababu ya huyu mama
Lakini kwasasa atapoteza heshima yake.

Alikuwa mcha Mungu safi lakini sasa amekuwa mwongo
 
Kizazi katili kabisa
 
Mkuu Queen Esther, kwanini usiwe na upana zaidi wa kuwaza. Hili lilishaongelewa kwamba baada ya kiti kulazwa, alilala kifudifudi yaani kulalia tumbo juu ya kiti kilicholazwa. Baada ya kufanya hivyo mguu wa kulia unakua upande gani?
 
Hivi ameambatana na mumewe?isije ikawa nyege zimemzidi!!!kama mumewe hayupo natoa amri aitwe mara moja akafanye kazi yake!!!Maana sio kwa kuropoka huko!!!
Wacha maneno yakisenge
 
Ukiona CCM wameishiwa, hapo wamebaki roporopo, kumbe Lissu akiongelea issue ya kupigwa risasi, viongoz wa CCM inawahamisha.
 
Lakini mama kasema kweli risasi 16 kwa ashari mwenye mafunzo ni ngumu aisee...
Target ilikuwa Lissu ashuke kwenye gari sasa Lissu hakushuka,angeweza je kuwa perfect wakati hujui Lissu kakaaje? Ndio maana risasi zilipigwa randomly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…