Like a father like a son. Una heshimika mama, ukianza kumfuata boss wako, utajumuishwa kwenye kundi la kudharaulika. Unajua kidogo sana kuhusu polisi wa CCM. Hawana mchujo wakati wanachukuliwa, hawapati mafunzo ya kutosha zaidi ya kuvaa crown na kutambua sare za wapinzani na kuwashughulikia. Wengi ni wavuta bangi. Kuwakweza askari polisi unawapa sifa si yao. Ni Hawa polisi ambao wakuu wa mikoa na wilaya wana waamuru kuwaweka watu ndani saa 48 bila kuhoji? Ni Hawa wanao kamata vijana saa 4 usiku na kuwaweka ndani ili wawanyang'anye fedha ndio wawaachie? Pole mama.