KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Nadhani kuna 'speech'nyingine ya aina hiyo kuhusu wizi wa kura wakati wa 'uchafuzi mkuu' wa 2020.Mama amenogewa na maisha ya kwenye kiyoyozi.
Wakati wa kampeni si alisema kuna mtu anapita pita huko anasema alipigwa risasi. Yeye mwenyewe alikwenda kumuona Lissu Nairobi Hospital, kuwaelewa wanasiasa unahitaji akili za ziada.Nadhani kuna 'speech'nyingine ya aina hiyo kuhusu wizi wa kura wakati wa 'uchafuzi mkuu' wa 2020.
Sijui nani anayo hiyo.
Ingefaa zote ziwekwe pamoja tuanze kumsikiliza huyu mamam yetu wakati huu.
Hawa watu sijui vichwani mwao wamewekewa kokoto?
Haieleweki hapo alitaka kumfurahisha nani, Jiwe?
Lakini mbona alionyesha 'empathy' ya ajabu sana pale Nairobi?..anazungumza kama mwanamke asiyejua uchungu wa kuzaa.
..au asiyejua mahangaiko na wasiwasi wa kuuguza.
Nikianza kucomment kwenye nyuzi za siasa, nitakula ban asee...Wakati wa kampeni si alisema kuna mtu anapita pita huko anasema alipigwa risasi. Yeye mwenyewe alikwenda kumuona Lissu Nairobi Hospital, kuwaelewa wanasiasa unahitaji akili za ziada.
Watu hamjambo kwa kufukua makaburi [emoji28]...................
Lakini tuwe wakweli. Hii ndiyo siasa?Wakati wa kampeni si alisema kuna mtu anapita pita huko anasema alipigwa risasi. Yeye mwenyewe alikwenda kumuona Lissu Nairobi Hospital, kuwaelewa wanasiasa unahitaji akili za ziada.
Umesahau awamu ya nne alivyokua anarusha vijembe kwa upinzani bungeni? Ile ndiyo tabia yake halisi. Muda utaongea.Lakini mbona alionyesha 'empathy' ya ajabu sana pale Nairobi?
Ile ilikuwa kweli ni kuigiza?
Mtu anaweza kuigiza vile? Hapana. Ni Boss wake tu aliyekuwa na uwezo wa kufanya hivyo.
Inawezekana, mama aliporudi Dar baada ya safari ile ya Nairobi alikaripiwa sana na kutukanwa.
Hapa anajaribu ku'regain' ile 'trust', kuonyesha mkubwa wake kwamba naye bado yumo kwenye kundi hilo.
Huyu mama inaonekana wazi kuwa alitaka ku'impress'; hata lile la wizi wa kura mwaka jana, utamwona tu kwamba ni kujitutumua tu aonekane naye yumo.
Hata alipokuwa makamu mwenyekiti wa ile shughuli ya Katiba, mwonekano wake ni ule ule,; na kwa bahati yake mwonekano huo ndio uliomwezesha aonekane hadi sasa kaukwaa ukuu wa nchi.
Sasa hana nafasi tena ya kufanya maigizo kwa yeyote, kwa sababu yeye ndiye Boss.
Ngoja tuone sasa tabia yake halisi ni ipi.
Lini ?Amekwishatubu
Alielemewa mpk akapoteza dira ya kisiasa na ubinadamu.Hii ni mbaya sana. Nadhani mama anajuta kwa kauli hii
Maana naona yameshupalia Sana kauli ya kiungwana ya Mdude wanaibadilisha ionekane ni mbaya.Du hatari Umetisha mkuu,kwa kuwawekea ma ccm,hii kitu,hapa wanapita kama hawaoni,