Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Mama amenogewa na maisha ya kwenye kiyoyozi.
Nadhani kuna 'speech'nyingine ya aina hiyo kuhusu wizi wa kura wakati wa 'uchafuzi mkuu' wa 2020.

Sijui nani anayo hiyo.

Ingefaa zote ziwekwe pamoja tuanze kumsikiliza huyu mama yetu wakati huu.

Hawa watu sijui vichwani mwao wamewekewa kokoto? Kuua waTanzania wenzenu inakuwa ni 'sport' ya kujivunia?
Halafu wakitoka hapo kwa unafiki mkubwa wanakimbilia kwenye dini waonekane wao ndio wacha Mungu wa kuigwa?

Haieleweki hapo alitaka kumfurahisha nani, Jiwe?
 
Nadhani kuna 'speech'nyingine ya aina hiyo kuhusu wizi wa kura wakati wa 'uchafuzi mkuu' wa 2020.

Sijui nani anayo hiyo.

Ingefaa zote ziwekwe pamoja tuanze kumsikiliza huyu mamam yetu wakati huu.

Hawa watu sijui vichwani mwao wamewekewa kokoto?

Haieleweki hapo alitaka kumfurahisha nani, Jiwe?
Wakati wa kampeni si alisema kuna mtu anapita pita huko anasema alipigwa risasi. Yeye mwenyewe alikwenda kumuona Lissu Nairobi Hospital, kuwaelewa wanasiasa unahitaji akili za ziada.
 
..anazungumza kama mwanamke asiyejua uchungu wa kuzaa.

..au asiyejua mahangaiko na wasiwasi wa kuuguza.
Lakini mbona alionyesha 'empathy' ya ajabu sana pale Nairobi?

Ile ilikuwa kweli ni kuigiza?

Mtu anaweza kuigiza vile? Hapana. Ni Boss wake tu aliyekuwa na uwezo wa kufanya hivyo.

Inawezekana, mama aliporudi Dar baada ya safari ile ya Nairobi alikaripiwa sana na kutukanwa.

Hapa anajaribu ku'regain' ile 'trust', kuonyesha mkubwa wake kwamba naye bado yumo kwenye kundi hilo.

Huyu mama inaonekana wazi kuwa alitaka ku'impress'; hata lile la wizi wa kura mwaka jana, utamwona tu kwamba ni kujitutumua tu aonekane naye yumo.

Hata alipokuwa makamu mwenyekiti wa ile shughuli ya Katiba, mwonekano wake ni ule ule,; na kwa bahati yake mwonekano huo ndio uliomwezesha aonekane hadi sasa kaukwaa ukuu wa nchi.

Sasa hana nafasi tena ya kufanya maigizo kwa yeyote, kwa sababu yeye ndiye Boss.

Ngoja tuone sasa tabia yake halisi ni ipi.
 
Wakati wa kampeni si alisema kuna mtu anapita pita huko anasema alipigwa risasi. Yeye mwenyewe alikwenda kumuona Lissu Nairobi Hospital, kuwaelewa wanasiasa unahitaji akili za ziada.
Lakini tuwe wakweli. Hii ndiyo siasa?

Au sisi ndio tumeamua kuipa hadhi ya kuwa siasa!

Inaeleweka kusema uongo na kuongeza chumvi katika mambo mengi ndiyo tabia ya wanasiasa wengi.

Lakini kuumiza, na kuua raia wako, jambo hili nalo kweli linakuwa ni sehemu ya siasa?
 
Lakini mbona alionyesha 'empathy' ya ajabu sana pale Nairobi?

Ile ilikuwa kweli ni kuigiza?

Mtu anaweza kuigiza vile? Hapana. Ni Boss wake tu aliyekuwa na uwezo wa kufanya hivyo.

Inawezekana, mama aliporudi Dar baada ya safari ile ya Nairobi alikaripiwa sana na kutukanwa.

Hapa anajaribu ku'regain' ile 'trust', kuonyesha mkubwa wake kwamba naye bado yumo kwenye kundi hilo.

Huyu mama inaonekana wazi kuwa alitaka ku'impress'; hata lile la wizi wa kura mwaka jana, utamwona tu kwamba ni kujitutumua tu aonekane naye yumo.

Hata alipokuwa makamu mwenyekiti wa ile shughuli ya Katiba, mwonekano wake ni ule ule,; na kwa bahati yake mwonekano huo ndio uliomwezesha aonekane hadi sasa kaukwaa ukuu wa nchi.

Sasa hana nafasi tena ya kufanya maigizo kwa yeyote, kwa sababu yeye ndiye Boss.

Ngoja tuone sasa tabia yake halisi ni ipi.
Umesahau awamu ya nne alivyokua anarusha vijembe kwa upinzani bungeni? Ile ndiyo tabia yake halisi. Muda utaongea.
 
Na linalosikitisha sana, huyu mama akianza ukatiri, kuumiza na kuua, hawezi kukosa washangiliaji!

In fact, kuna watu wanasubiri ashindane na mtangulizi wake kwenye eneo hilo ndipo wamtambue kuwa kweli ni mfuasi mwaminifu wa mtangulizi wake.
 
CCM mnatakiwa kufanya marekebisho makubwa ya kauli zenu kuanzia kwa mwenyekiti wenu mpk mwanachama wa kule Mpitimbi.

Hii video inamuonesha mama Samia akitoa kauli ya kejeli kwamba Tundu Lisu hakupigwa risasi 16. Anaongeza kwa kusema wanajeshi wa serikali ya ccm wamefunzwa vema kiasi kwamba risasi moja tu ingemmaliza Lisu.

Karibu kulinganisha na ile ya Mdude uone ipi haina utu na maadili.

Mdude anatakiwa abanwe pumbu ipasavyo 😂😂
 
Du hatari Umetisha mkuu,kwa kuwawekea ma ccm,hii kitu,hapa wanapita kama hawaoni,
 
Back
Top Bottom