KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Nadhani kuna 'speech'nyingine ya aina hiyo kuhusu wizi wa kura wakati wa 'uchafuzi mkuu' wa 2020.Mama amenogewa na maisha ya kwenye kiyoyozi.
Sijui nani anayo hiyo.
Ingefaa zote ziwekwe pamoja tuanze kumsikiliza huyu mama yetu wakati huu.
Hawa watu sijui vichwani mwao wamewekewa kokoto? Kuua waTanzania wenzenu inakuwa ni 'sport' ya kujivunia?
Halafu wakitoka hapo kwa unafiki mkubwa wanakimbilia kwenye dini waonekane wao ndio wacha Mungu wa kuigwa?
Haieleweki hapo alitaka kumfurahisha nani, Jiwe?