Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Sasa ni dhahili kuwa CCM ni mashetani!!! Huu ni udhalimu wa kiwango cha juu kabisa!!! Kwa iyo wanampangia Mungu sio???? Yaani mtume watu wampige mtu wa watu risasi, Mungu anamponya bado mnaleta maneno ya kebehi???
Ndo mjue ukuu wa Mungu kwa Lissu!!Inafikirisha Sana... Lkn jiulze 16 alafu mtu anapona..
Mungu kawapiga upofu CCM. Sasaivi wamekuja na stairi mpya wanafanya matukio alafu wanawaambia polisi waseme ni Chadema!!! Wanawaona Watanzania ni wapumbavu sana!!Swali; nyie ndio mnamiliki vyombo vyote vya usalama na vya sheria, mnsjus kuwa mwenyekiti wa chadema amefanya haya yote. Kwanini mpaka leo hamjamchukulia hatua za kisheria? au yeye yuko juu ya sheria?
Mimi nadhani chuki ni kuwanyima watu maendeleo kisa wamechagua chama tofauti na chako!Hiyo ni chuki kubwa sana!CHADRMA mna siasa za chuki na kibaguzi sana
Ndo mjue ni kwa jinsi gani CCM mlinyimwa akili na MunguHuko duniani hawatumiagi risasi tena zimepitwa na wakati!
Mkuu kitu unachosahau kikubwa ni kuwa umeasahau kuwa mpaka hapo alipofika sio lele mama. Kwa sisiemu kufika kcheo kama hicho alicho nacho ujue kafanya umafia sana na wa kutisha mpaka akakubalika.Yaani kwa jinsi mambo yalivyo na kwa nafasi yake kama Mama wa Kiislam akiwa na headscarf muda wote angepumzika siasa mbaya ili kujitenga na upande huo. Lakini yeye anafikia hatua ya kukejeli wananchi wake waliopatwa na maswaibu....nimesikitika sana!
Kwakweli (samahani hapa wanawake/akina mama); hivi huwa baadhi yenu mnawezaje kutoa mimba na au kutupa kichanga chooni???
Hata kama alipigwa na majambazi au CHADEMA wenyewe Kwanini basi kukejeli Utukufu na Uwezo wa Mungu kumponya binadamu mwenzio???
Mbona viongozi wetu mmejawa na viburi na kejeli nyingi kwa raia wenu wapole hawa mnawataka nini lakini??
So video has been watched by many and yes we have now concluded of your innermost character.
May God heal our country and the people within it who are being squeezed unnecessarily.
Natamani JF wangeweka tool ya 'Dislike' 👎CHADRMA mna siasa za chuki na kibaguzi sana
Huu ndo ukweliLissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!
basi itakuwa alikuwa ni Bashite na wanakijiji wenzake wa "call me jay"!
MUNGU NDIYE Aliye wapumbaza watesi wake wasiweze kulenga shabaha.Lakini mama kasema kweli risasi 16 kwa ashari mwenye mafunzo ni ngumu aisee...
Kwa minajili ya kudhihirisha chuki zenu hakika nashauri waweke maana mnaweza kupata vidonda vya tumboNatamani JF wangeweka tool ya 'Dislike' [emoji107]
Mara hii keshasahau matusi aliyotukanwa na jiwe mpk akataka kujiuzuru?? Au anadhani hatujui?Ukikaa na shetani na wewe utakuwa shetani.
Una uhakika na hiko ukisemacho?Mkuu kitu unachosahau kikubwa ni kuwa umeasahau kuwa mpaka hapo alipofika sio lele mama. Kwa sisiemu kufika kcheo kama hicho alicho nacho ujue kafanya umafia sana na wa kutisha mpaka akakubalika.
Ni vile tu ni mwanamke ndio maana unamchukulia poa. Achana na mascafu hayo hata shetani anayo.
Hakuna aliyenyimwa maendeleo.Mimi nadhani chuki ni kuwanyima watu maendeleo kisa wamechagua chama tofauti na chako!Hiyo ni chuki kubwa sana!
Kwa heshima aliyo jijengea mama samia kwa miaka mitano yote iliyo pita sikudhan kama angeweza kuiharibu kwa maneno ya sekunde chache tu , hapa mama kakosea na kamkosea allah!Yaani kwa jinsi mambo yalivyo na kwa nafasi yake kama Mama wa Kiislam akiwa na headscarf muda wote angepumzika siasa mbaya ili kujitenga na upande huo. Lakini yeye anafikia hatua ya kukejeli wananchi wake waliopatwa na maswaibu....nimesikitika sana!
Kwakweli (samahani hapa wanawake/akina mama); hivi huwa baadhi yenu mnawezaje kutoa mimba na au kutupa kichanga chooni???
Hata kama alipigwa na majambazi au CHADEMA wenyewe Kwanini basi kukejeli Utukufu na Uwezo wa Mungu kumponya binadamu mwenzio???
Mbona viongozi wetu mmejawa na viburi na kejeli nyingi kwa raia wenu wapole hawa mnawataka nini lakini??
So video has been watched by many and yes we have now concluded of your innermost character.
May God heal our country and the people within it who are being squeezed unnecessarily.
Mlishawahi kutupigia?? CCM gani sio mafia?Una uhakika na hiko ukisemacho?
CCM ni chama kinachoandaa viongozi na siyo majahili.
Mna siasa za kuchafuana sana. Hatuwapigii kura CHADEMA this time
Uislam unakataza usagaji hizo shungi za bure Tu alizovaaMama amenogewa na maisha ya kwenye kiyoyozi.
Thubutu. Heshima gani kama alikaa kimya kwa unyama unaofanywa na mkubwa wake?? Hio heshima ni ipi?Kwa heshima aliyo jijengea mama samia kwa miaka mitano yote iliyo pita sikudhan kama angeweza kuiharibu kwa maneno ya sekunde chache tu , hapa mama kakosea na kamkosea allah!
Kampeni geresha tu?Hazina maana?Hakuna aliyenyimwa maendeleo.
Siasa za jukwaani za ushawishi wa kura zisikuue kwa vidonda vya tumbo