Ni kweli hakuna maendeleo na hata majimbo ya ccm ndio kabisa yamechoka yakachakaaHakuna aliyenyimwa maendeleo.
Siasa za jukwaani za ushawishi wa kura zisikuue kwa vidonda vya tumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hakuna maendeleo na hata majimbo ya ccm ndio kabisa yamechoka yakachakaaHakuna aliyenyimwa maendeleo.
Siasa za jukwaani za ushawishi wa kura zisikuue kwa vidonda vya tumbo
Ukimya wake ndio heshima yenyewe mkuu, na hasa kwa mazingira aliyo nayo katika nafasi yake.Thubutu. Heshima gani kama alikaa kimya kwa unyama unaofanywa na mkubwa wake?? Hio heshima ni ipi?
Zile risasi zina siri kubwa kamanda!Tumwambie tu huyu mke wa Coplo wa zimamoto kuwa wauaji waliowatuma kumuua Lissu hawakumkosa, walimpata, walimimina zaidi ya 30, na zote zililenga pale pale anapokaa Lissu kwa upande wa ndani. Hongera huyo askari kaiva kwenye shabaha.
Mliwatuma wakatekeleza maelekezo.
Ila hata siku moja shetani hajawahi kumzidi Mungu!
Nilikuwa nakuona ww mama mstaarab umekaa kimya haufungamani na hao wenzako, kumbe ulikuwa umeficha makucha, Lissu mliyomtwanga marisasi ya kutosha Mungu akasema no, huyu mtu ni mpango wangu, ni lazima aishi! Mna roho mbaya sana ninyi watu, sijui mwanamke gan ww, hukuzaa??
Hana lolote yule wote ni wale wale. Pengine angekaa kimya kuongelea wazi wazi lakini angeshauri na tukaoa uozo ukifanyiwa kazi. Lakini watu wametekwa, wameteswa, wameuliwa, wamebambikiwa kesi mbaya kabisa hadi za mauwaji, na uchafu kibao.....utatuambia nini bwana!Ukimya wake ndio heshima yenyewe mkuu, na hasa kwa mazingira aliyo nayo katika nafasi yake.
Jiwe ni mtu hatari sana kwa ustawi wa taifa hiliHakuna aliyenyimwa maendeleo.
Siasa za jukwaani za ushawishi wa kura zisikuue kwa vidonda vya tumbo
Sasa amewabeep chadema watampigia kwa kasi ya 5GMama amenogewa na maisha ya kwenye kiyoyozi.
Hata uwe na mafunzo,Mungu akiamua kukuponya anakuponya tu!Halafu gari ya Lissu ilikuwa na tint isiyoonesha hivyo washambuliaji walimwaga njugu upande aliokaa na sio kwamba walikuwa wanalenga shabaha kwamba jicho lile pale au utosi!Ndio maana wakamimina risasi nyingi,hii yote ni kuonesha hawakuwa na clear view ya mtu waliyekuwa wanamlenga!Ingekuwa alikuwa anaonekana basi wangelenga za kichwa!Mkuu nakuunga mkono maana hii kauli ya samia niliwahi kuiskia mahala kabla yake kua lait waliommiminia risasi lisu wangekua askari waliopitia mafunzo wasingemkosa hata kidogo mana askari aliopitia mafunzo akikulenga risasi tatu bila ya kukuua lazima awajibike na awe na maswali ya kujibu kwann kakukisa lakini chakushangaza yaya amepatiwa 16 na hajafa wazi kua hawa jamaa waliofanya hiyo kazi hawana mafunzo
Huyu tangu asifiwe uzuri na yeye anajiona Bi mdogo wa Magufuli.
Lissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!
Tulikuwa tunamheshimu sasa acha tuanze kumtukana na kumpa kila aina ya dharau. Tusilaumiane!Huyu mama hapo kakosea.
Mama samia kaambukizwa ushetani mwingi lakini ajue chadema wanayo tiba ya kumkabili shetani tokea CCM yoteKumbe usheitwani Waheed ni gonjwa la kuambukiza?
Tumwambie tu huyu mke wa Coplo wa zimamoto kuwa wauaji waliowatuma kumuua Lissu hawakumkosa, walimpata, walimimina zaidi ya 30, na zote zililenga pale pale anapokaa Lissu kwa upande wa ndani. Hongera huyo askari kaiva kwenye shabaha.
Mliwatuma wakatekeleza maelekezo.
Ila hata siku moja shetani hajawahi kumzidi Mungu!
Nilikuwa nakuona ww mama mstaarab umekaa kimya haufungamani na hao wenzako, kumbe ulikuwa umeficha makucha, Lissu mliyomtwanga marisasi ya kutosha Mungu akasema no, huyu mtu ni mpango wangu, ni lazima aishi! Mna roho mbaya sana ninyi watu, sijui mwanamke gan ww, hukuzaa??
Hasa pale unapokaa naye muda mrefuUkikaa na shetani na wewe utakuwa shetani
Hakuna aliemsafi ndani ya CCM
Kakosea sana. Binafsi suala la kupigwa risasi binadamu mwenzangu siliafiki Kabisa. Mpaka leo waliompiga hata hakutuona efforts zozote za kuwatafuta/uchunguzi.Tulikuwa tunamheshimu sasa acha tuanze kumtukana na kumpa kila aina ya dharau. Tusilaumiane!
Huyo mama ana mchepuko wake mmoja ambao ulikuwa RC na ukakimbilia kusaka ubunge ii upewe uwaziri ukaishia kikosa kwa kupigwa chini kwenye kura za maoni ajiandae taarifa zote kuanikwa live.Na hizo tetesi zake zipo ila sema tulimstahi kwasababu alionesha ustaarabu!Sasa ajiandae kuanikwa huyo mwanaizaya asiye na mume!
Ulitaka waanze kumuhoji na kampeni hizi si atalalamika! Halafu usitumie tuli mi sihusiki wewe acha kuwa na akili mgando..
Matukio mengine yanahitaji muda.. tunajadili hatima ukifata process hutaelewa kamwe.
Mmoja wa washambuliaji ni mchepuko wake kama upo hapo Dsm msake Le mutuz kaa nae chini mpelekeze vizuri anazo siri nyingi za huyo mamaKakosea sana. Binafsi suala la kupigwa risasi binadamu mwenzangu siliafiki Kabisa. Mpaka leo waliompiga hata hakutuona efforts zozote za kuwatafuta/uchunguzi.