KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Ukitaka kufaidi chochote, wekeza.Ila wanawake wa leo nao wamezidi uchunaji. Yaani ukitaka kuingia kwenye mapenzi lazima uwe na mtaji.
Naye huyo anajiona ni mwanaumeHeeee.........
Kama ndo yeye basi Anavuna alichopanda.....Hii ndio akili ya mtoa mada msipoteze muda wenu enyi wanaume
Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile
Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike. Nilipokuwa chuonI UDSM, niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba. Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo. Nikiwa pale nilijifunza usagaji...www.jamiiforums.com
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kila mtu akae na rasilimali zake tuoneHakuna cha umasikini wala nini
Mnataka pesa na sisi tunataka utelezi
Weka utelezi tuweke pesa
Weka pesa upate utelezi.
Mtoto wangu namfundisha elimu ya jando, ambayo nyie wanaume midoli mnaiona imepitwa na wakatiKwahiyo mtoto wako wa kiume pia utatamani awe zezeta?
Unapochukia wanaume hakikisha huzai mtoto wa kiume otherwise karma is really.
Vita gani jamaniHii vita itakayotokea hapa mtoa mada ujipange.
Wengi tu wametokea kwenye familia ya baba na mama lakini hawana uwezo wa kujisimamiaTatizo la kuwa na baba aliyelelewa na single mother ndio huleta watoto wa kiume rojorojo wasiojua na wala kutimiza majukumu yao kikamilifu
Bahiri wa kutupwa ππππππππHata sielewi ni upigaji ama nini..
Achana na ile kupata mke omba omba.. Ambaye hela nyingi anapeleka kwao au anafanyia mambo yake binafsi ikowepo kumuhonga katibu.
Hawa wadada wengine wanaomba hela kwa sababu
1. Wana amini ni wajibu wako
2. Wanakuona danga.
Nna visa viwili.
1. Nikiwa naperuzi mitandao ya kijamii nkaona comment ya mdada mwenye jina la ukoo nkatambua tupo kabila moja.. Basi nkazama inbobo nkawa nmachartisha kwa kabila letu.. Daaha kumbe hayupo mbali sana na nilipo mimi.. Basi akaanza kukomaa kuulizia kazi nnayofanya, kama nimeoa ama laah. Mwishoni akaanza kukomaa tuonane.. Sasa kutokana na kutingwa na majukumu nkawa nakwepa.. Jana anasema ana shida na elfu 50.. Duuuuh nkaona huyu ananiona mm danga.
2. Kisa cha pili
Nilikuwa semina kikazi kanda ya ziwa. Pale sina ndugu hivo nkafikia hotelini.. Ila kuna mshiriki mmoja mdada mke wa mtu.. Huyu nilonana kule kule.. Ila tunatoka mkoa mmoja,.
Yeye ana ndugu wa mume wake pale so hakuwa ana ingia cost ya chakula na accommodation.. Na mara nyingi akawa anajisifu kuwa mume wake ana muhudumia hata alipo kule..
Na ile per diem yake haigusi kabisa..
Cha ajabu imefika muda wa kusepa si nkajichanganya nka muaga kuwa naenda kata ticket akasema nikate ya wawili. Nkapigwa mzinga wa kwanza hapo.
Njiani mm ndiyo nkawa main supplier, halafu Kosa kubwa nililofanya njian ni kuonesha nia ya kula mzigo.. Safari ile ilikuwa ndefu na usiku ukatukuta ndani ya basi.. Pale nkapata denda.. Nkamshikisha dushele, akawa analibinya binya.. Nka mshika chakula cha mtoto.. Nkamlaza kwenye mapaja huku nkimbembeleza na ku massage mgongoni.
Dadaaaaaah baada ya hapo sasa. Nkakumbuka mke wa mtu sumu afu huyu dada story zake ni kipengere kinoma.
Akaanza visa.
. Mara nywele zimefumuka, anataka simu mpya, mdogo wake ada imekata, zote hizo nilikuwa napangua.. Juzi kanitumia risala ndefu akielezea kusikitika kwake na kunilamu vikali.. Kuwa mimi ni Bahiri wa kutupwa.
Natamani nimtukane.. Kuwa hivo vyote amuombe mume wake.. Shenzi kabisa
Mtu anayechukia umaskini anatakiwa afanye kazi kwa bidii akuze uchumi wake na asaidie wasiojiweza πππ!Kama mnachukia umasikini tafuteni pesa zenu sio mpaka mpewe au kila siku mnalia lia hamuhudumiwi
Haya Bana msalimie Ben10 wako!,mwanamke ukiona anajifanya very wise muogope sana...!huwa ana misururu mirefu kweli.Hizo ni level za kina MWAJUMA Ndala Ndefu, watafute
Asante sana. Namshukuru Mungu kwa jinsi nilivyo. Uwe na amaniHaya Bana msalimie Ben10 wako!,mwanamke ukiona anajifanya very wise muogope sana...!huwa ana misururu mirefu kweli.
Ndiyo maana nikaonyesha nia,mungu akuangazie nuru ya uso wake na kukulinda,ukae na wema wako huohuo,Amina.Asante sana. Namshukuru Mungu kwa jinsi nilivyo. Uwe na amani