Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

Well said.....
Hatupendi pesa ila tunauchukia umasikini
 
Suala la king Charles wa 3 kukaa Kwao mpaka Leo limekuuma sana eti..??.[emoji19][emoji19]
 
HAPA NIMEKUELEWA SANA,KUNA WANAWAKE WAJINGA WANATAKA HELA YOTE YA MUME WAKE AIJUE NA AITUMIE WAKATI YEYE HATA HANA MCHANGO KATIKA PESA HIYO
Pamoja na majukumu ya mume kuhudumia familia anayo haki ya kutumia pocket money yake kwenye mambo binafsi hiyo siyo family business.
 
Pesa zote zinatoka kwa wanaume, therefore pesa za huduma kwa wazee, watoto nk zote anatoa mwanaume ndio anampa bar maid, house wife, mchepuko na malaya wa barabarani.
Wanaume ndio hawautaki umaskini ndio maana wanauondoa kote kote wanagawa pesa. Kumbuka kauli mbiu yenu MNAWEZA MKIWEZESHWA.
 
Kweli kabisa, mimi nauchukia sana umaskini ndio maana nafanya kazi kwa bidii ili kuhudumia wanao nitegemea ili na wao waweze kujitegemea. Hela ya mtu hapana aisee ,naridhika na ninachokipata. Wanawake tuache kuombaomba, tutafute hata kidogo cha kwetu, ikitokea umepawa hewala , lakini isiwe ni ada
 

Ahsante mkuu bila kusahau swala la shule wanakomaa mtoto apelekwe shule za bei hawajali ubora wa elimu alafu ukikataa analazimisha ikibidi anampeleka mwemyewe ela zikimkosa ananza kucheat(kuomba omba na kukopa) uk akimlisha mtoto sumu "baba yako hakupendi si unaona navyotaabika kukutaftia ada" tunaonekana sisi wehu yaan ivi viumbe.
 
Hivi viumbe vingine sijui vimeumbwa vipi
 
Go down the street, work hard, feed your dependents
 

Pole kwa kiliwa nauli mkuu [emoji3]ila ndio changamoto za kutafuta mbususu usikate tamaa siku nyingine tuma na yakutolea Mtoto atakuja
 

Mwenzio anataka kumi tu wewe unang’ang’ania kumtafutia kazi [emoji28]toa kumi 2 acha uboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…