Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

Sasa wenzio wanataka iwe ada yani mwanaume hata akisema amsalimie kwa simu tu tayariπŸ˜‚ mizinga inaanza. Anakomaa kabisa umgee hela ukifeli inakuwa balaa.
 
Kwa kweli wanawake na pesa ni sawa tu na mgonjwa na uji! Yaani hamuwezi kutenganishwa.

Ni sawa tu na wanaume kupenda wanawake wengi (kuwaka tamaa)! Huo ndiyo ugonjwa wetu mkubwa! Ukiona mwanaume ameridhika na mwanamke mmoja pekee, basi utambue fika huyo hajakamilika.
 
Wewe unaonesha umefundwa ebu wape elimu hawa wadogo zako kama mtoa mada
 
Wanaume mnapenda personal attacks mmeenda kufukua madam zake zingine
Kutwa mnatukana wadada humu mbona hamshambuliwi kaahhh
Huzuni sana
 
Na tunachambwa balaa yaani kuanzia redion vituo vy television had kwenye mitandao ya kijamii sema ndo Ivo
 
Hiyo kazi yako ndio inajutia kiburi,sema unavyi weza Ila IPO siku utamng'ang'abia shamba boy na hauta kumbuka yote haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…