Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

Trust me kijiji kikiwa na wanawake tupu akatokea fisi amefika hicho kijiji hawezi hata kudhuru mtu, atapewa fupa lake ataondoka, hao fisi huvamia vijiji na kuua watu sababu kuna wanaume makatili walishaenda huko vichakani kuwachokoza,
#Dunia ingekua mahali salama kama mwanaume asingekuwepo.
 
Haibadilishi kuwa ni hisia
 
Toka mariposa utakwe na jizee ulilokuwa unalipa heshima kila siku ni kutusema twanuka kwapa,,

Wanaume wengi labda kunuka kwapa kwasababu ya kazi lkn wanawake wengi wenu mna harufu fulani fulani hv..... Tofauti na si wazee
Umeona sasa yaani wanaume ni vurugu kila mahali, jizee la miaka kenda bado linatongoza,
Hiyo jinsia yenu ni tatizo walai, IFUTWEEEEEEEE
 
Katika kuwakilisha hoja inayogusa kundi kubwa la watu au jamii nzima tunatumia ujumuishi. Tukisema Tanzania ni nchi masikini, je maana yake wananchi wote ni masikini? Kwa mantiki yako maana yake tukitaka kuelezea hali ya raia wa Tanzania kiuchumi maana yake tuwataje kwa majina masikini wote, middle class wote na matajiri wote?.

Wataalamu wa masuala ya ubongo wanasema tofauti za ubongo wa mwanaume na mwanamke zinafanya wanawake wawe mahili zaidi kusoma na kuongea. Wanaume wawe mahili zaidi kwenye kubuni na kutengeneza. Lakini haimaanishi ya kwamba kila mwanaume na mwanamke wanazo hizo sifa exactly. Hitimisho ilo limefikiwa kwa kuangalia wastani

Tangu mwanzo nilijua akili yako ni ndogo lakini sikujua kama ni ndogo kiasi cha kushindwa kuelewa mambo ya kawaida kabisa.
 
Sawa umeuliza theoretical question,Nami nitauliza hivyo hivyo bila kubishana let's assume sasa hivi dunia sio salama sababu ya wanaume,.dunia ya wanawake tupu ingekuwaje??niambie your imagination...
Mbona nishajibu isome tena mada vizuri
 
Mbona Uyoga, nimecheka sanaaa,
eenh kwanini unadhani tungekua kama Uyoga?
 
Uongo. Inaonekana unaishi mjini hata huzijui tabia za fisi wewe.
 
Upo sahihi lakini amini kwamba hakuna mwanamke mbadhilifu bila nyuma yake kuwepo mwanaume alomshawishi
 
Bwana mdogo ondoa mawazo haina maana kila mwanaume anaweza kubuni " chukulia case study kwenye nchi yako unaweza kusema wanaume sisi ni wabunifu ? Utasemaje sisi ni wabunifu wakati idadi ya wanaume wabunifu tanzania haifiki hata asilimia 0.5% ya idadi ya wanaume? Bwana mdogo suala la ubunifu halina uhusiano na uanaume. Ingekuwa hivyo basi hata robo ya wanaume duniani tungekuwa wabunifu. Tofauti na hapo unaongea nonsense tu ,, ubunifu hauwezi kukupa uanaume na wala usipokuwa mbunifu haiwezi kukuondolea uanaume hiyo ni sifa ya ziada nje ya jinsia
 
Hua unanichekesha sana pale unavyojifanya unajua kumbe unaungua na jua, unakereeka hua siandiki magazeti mareeefu kwenye replies zangu,
Una uhakika hakuna gunduzi zilizofanywa na wanawake!!? Basi huko shuleni ulienda kusomea ujinga (In Faiza's voice)
 
Kwa taarifa yako zamani mwanamke alikua anafichwa kwenye mambo ya kielimu na kigunduzi sababu ya ubaguzi na unyanyapaa dhidi yao, kwa hiyo ilikua hata kama mwanamke kafanya jambo anawekwa mbele mwanaume, duh! mjisomee sio kukaza shingo mwanaume this, mwanaume that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…