Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Duh kwan mara ngapi Israel anawapasua hao waajemi bila msaada wa USA, em fuatilia utaelewa
Unaelewa vikwazo alivyowekewa huyo muajemi mkuu? Israel bila USA ni tambara bovu tu.
 
Imagine hv vyomba vinakusubiri πŸ”₯
Na unapewa miguvu ya extra mzee πŸ˜…πŸ˜…
Nguvu za wanawake 100 alafu unakuwa na 72... πŸ˜…πŸ˜… Mbingu ya mitombo na mito ya pombe na kitimoto huko ni kunenepeana tu
 
Na unapewa miguvu ya extra mzee πŸ˜…πŸ˜…
Nguvu za wanawake 100 alafu unakuwa na 72... πŸ˜…πŸ˜… Mbingu ya mitombo na mito ya pombe na kitimoto huko ni kunenepeana tu
Ah ngoja sisi USA tuwasaidie hawa Makobaz kwenda kupata mema hizo πŸ”₯
 
Iran ilichelewa sana kusoma alama za nyakati.

Israel katandika proxies zote za Iran zilizo Palestine, Syrian, Lebanon na Yemen ili kupungiza tishio, then kamuanza Iran mwenyewe kwa kupiga mifumo na miundombinu ya kijeshi na baada ya kumaliza na hiyo Fordow .... sasa wanaingia mtaan kuchinja kuku wawili watatu na kuyia hadara kidogo za uwekezaji mkubwa then wawaache Iran waaanze vikao na matamko
 
Kama aliondoa kila kitu, hiyo sehemu ndogo iliharibiwa ni sehemu ndogo ya nini? USA katest mitambo tu, katoa muda Iran kurudi mezani, la sivyo litamkuta jambo.
Sawa tuta ona Iran kama atarudi kwenye meza kisha dharauliwa na Iran
 
Urusi wajibu mapigo kwa Marekani itokee Vita kuu ya tatu ya dunia tupate mademu wa bure ( wakimbizi)

Na Sisi akina Likud TUWAONJEMO mademu wa Ki -Iran, Syria etc.


πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwa support ya πŸ‡ΊπŸ‡Έ waajemi watapigwa, ila toe to toe mzayuni hawezi kumpiga muajemi, tena ambaye anachezea vikwazo vya kiuchumi miaka 46 sasa.
Ila Israel kaweza peleka ndege na kupiga kila siku.
Hadi uone B2 imeingia Iran maana yake anga lote li salama
 
Urusi wajibu mapigo kwa Marekani itokee Vita kuu ya tatu ya dunia tupate mademu wa bure ( wakimbizi)

Na Sisi akina Likud TUWAONJEMO mademu wa Ki -Iran, Syria etc.


πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Ukraine tu kamshindws
 
Hii ilikuwa yale mashambulizi ya awali sio haya ya alfajiri hii.
 
Ila marekani shida yao ilikua hio tu. Wanataka wao tu wamiliki nyuklia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…