Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Hebu tueleze pingamizi la msaliti Lissu linahusu nini? Tuanzie hapo kwanza!
John hajui kusoma na kuandika lugha ya kingereza. Fomu zimeandikwa kwa kizungu.

Kuna sehemu anatakiwa kujaza: SEX, John katiririka ngono mwanzo mwisho
 
Huwez kumuwekea pingamizi Raisi wa nchi na amiri jeshi mkuu
Kwa hiyo pingamizi ni kwa nani mkuu hizi sheria tunatunga kwa furaha kubwa kuwakomoa wapinzani kwetu inakuwa noma nakumbuka kamsemo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 
Vyombo vyote vya Dola wapo na Tundu lisu isipokuwa viongozi wa juu wale wanaojipendekeza kwa mtukufu kulinda vinua mgongo vyao

Acha kunichekesha migomo chuoni watu walikuwa wanawaambia wanafunzi msigeuze msimamo msikubali fildifosi wote wanawaunga mkono. Nisikilizie kichapo baadaye cha mbwa koko.
 
Mgombea Uraisi ni Raisi wa JMTZ, hashitakiwi wala kuhukumiwa popote pale ndani ya JMTZ, siyo Mwanasheria lkn simple logic inatosha!


Kwani Huyo Rais Ameshtakiwa wapi?
Mbona unakuwa kilaza hivyo.

Pingamizi linaenda NEC.
Mashtaka yanaenda Mahakamani.

Magufuli ni Mgombea ndio maana amewekewa pingamizi kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi kulingana na Vile Lisu alivyoona gap.

Wewe unakalia upumbavu wako, sijui Rais, sijui JMT, kama ni Rais kilichomfanya akagombee ni nini?

Uache utoto, pumbavu
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.

Lissu is not fit for office
Ukiwa na akili kubwa lazima uwe tofauti na wengine.
 

Sasa utwekaje pingamizi halafu utake NEC ndo itangaze hivi umeshaona mtu ameleka kesi mahakamani halafu waandishi wanakwenda kuiuliza mahakama
 
Nimecheka mpaka watu wamenishangaa eti mabodigadi tusiowajua ila maccm hayashindwi kitu haya.
 
Kwa hiyo wewe kwa akili yako kabisa unaamini pale kuna pingamizi lenye maana la kumuondoa Magufuli kwenye ugombea?

Au unafikiri kwakuwa tu linaitwa pingamizi basi pingamizi lolote lina maana?

Lisu angekuwa na akili angetumia huo muda kuwasaidia wagimbea wake ambao majimbo yao yametwaliwa na ccm kuliko kupoteza muda hapo kwenye tume
 
Huyu Tundu Lissu anaonekana mwenye furaha sana kuliko hata waliompiga risasi.

Ama kweli maisha ni tofauti sana kabla na baada ya kumwaga damu ya mtu.
 
Mimi nadhani Lissu ameweka pingamizi sio kwa sababu anataka Rias aenguliwe kwenye kinyang'anyiro bali ni ili aonyeshe kwamba hata kama mpinzani wako ni mkuu wa nchi, kisheria una haki ya kumpinga kulingana na vifungu vya sheria zilizopo

..asante.

..ccm wao wanataka Jpm achukuliwe kuwa ni raisi, na hao wengine ni wagombea.

..lakini sheria zetu za uchaguzi zinawaweka wote ktk mzani ulio sawa, hakuna mkuu zaidi ya mwingine.
 
Endeleeni kurukaruka kama njugu.

Huyo anayehitajiwa huko mitaani alikokuwa anazunguka mara mtaa wa jojo na mitaa ya firigisi watakutana kupeana pole uko huku mitaani kwao.

Mhe. Dr. Magufuli, ndiye Rais wa Tanzania anakubalika kwa Watanzania wote.
Anakubalika kwako wewe na watoto wako sio kwa watanzania wote wee vp
 
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.

Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.

Lissu is not fit for office

there is nothing wrong when you chose to be different.
 

Yametealiwa lini na yote yamewejewa mapingamizi au wewe haupo Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…