John hajui kusoma na kuandika lugha ya kingereza. Fomu zimeandikwa kwa kizungu.Hebu tueleze pingamizi la msaliti Lissu linahusu nini? Tuanzie hapo kwanza!
Kuna sehemu anatakiwa kujaza: SEX, John katiririka ngono mwanzo mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
John hajui kusoma na kuandika lugha ya kingereza. Fomu zimeandikwa kwa kizungu.Hebu tueleze pingamizi la msaliti Lissu linahusu nini? Tuanzie hapo kwanza!
Kwa hiyo pingamizi ni kwa nani mkuu hizi sheria tunatunga kwa furaha kubwa kuwakomoa wapinzani kwetu inakuwa noma nakumbuka kamsemo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchunguHuwez kumuwekea pingamizi Raisi wa nchi na amiri jeshi mkuu
Vyombo vyote vya Dola wapo na Tundu lisu isipokuwa viongozi wa juu wale wanaojipendekeza kwa mtukufu kulinda vinua mgongo vyao
Mgombea Uraisi ni Raisi wa JMTZ, hashitakiwi wala kuhukumiwa popote pale ndani ya JMTZ, siyo Mwanasheria lkn simple logic inatosha!
Ukiwa na akili kubwa lazima uwe tofauti na wengine.Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Lissu is not fit for office
Mwisho wa mapingamizi kupokelewa ni leo saa 10 alasiri. Sio?
Huenda mengine yalishapelekwa tangu majuzi.
Tume baadae itayapitia na kuyaweka hadharani.
Usije kushangaa kuwa mtu hakupingwa hata hili aliyetangaza ni mpingaji sio tume. Kuna wale hawatangazi wakijua kazi ya kutangaza mapingamizi sio yao, maana lazima yapitiwe yakidhi halafu yawe mapingamizi valid.
Si kuna wajinga hata watampinga Lisu eti anavaa miwani na ana bodguard wasio wajua? Tume itaona huu ni ujinga sio hoja . Inalitupa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]CCM wakifanya mchezo uchaguzi wa mwaka huu utakuwa ni kati ya Lissu na Spunda mzee wa ubwabwa.
Umewaza mbali asante umenifumbuaNimeelewa plan ya Lissu, kwamba kwa vile hakuna uwezekano wa Rais kuondolewa sababu ya pingamizi, basi na wengine wote watakaowekewa pingamizi watapona kwa mgongo huo.
Nimecheka mpaka watu wamenishangaa eti mabodigadi tusiowajua ila maccm hayashindwi kitu haya.Mwisho wa mapingamizi kupokelewa ni leo saa 10 alasiri. Sio?
Huenda mengine yalishapelekwa tangu majuzi.
Tume baadae itayapitia na kuyaweka hadharani.
Usije kushangaa kuwa mtu hakupingwa hata hili aliyetangaza ni mpingaji sio tume. Kuna wale hawatangazi wakijua kazi ya kutangaza mapingamizi sio yao, maana lazima yapitiwe yakidhi halafu yawe mapingamizi valid.
Si kuna wajinga hata watampinga Lisu eti anavaa miwani na ana bodguard wasio wajua? Tume itaona huu ni ujinga sio hoja . Inalitupa
Kwa hiyo wewe kwa akili yako kabisa unaamini pale kuna pingamizi lenye maana la kumuondoa Magufuli kwenye ugombea?Lisu kaweka ana akili sana huyu Mtanzania. Akili zake siyo za dunia hii.
Amewatega NEC vibaya mno na wametegeka. Wako njia panda. Wakijikwaa katika maamuzi ya mapingamizi ya JPM na Lipumba (hii itakuwa ni precedence), na hivyo basi wabunge wote walioenguliwa watarejeshwa.
Na endapo watayapa uzito, Magufuli atapoteza sifa ya kuwa mgombea.
Vyovyote iwavyo, akili ya Lissu itakuwa imeshinda.
Lakini msisahau hili: (Aliyepewa kazi ya kumjazia fomu John atapata taqbu sana)
' ni kuweka Precedent ndugu sio precedency'"Precedency".
Huyu Tundu Lissu anaonekana mwenye furaha sana kuliko hata waliompiga risasi.Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Uchaguzi House) jijini Dodoma kuwasilisha fomu zake za mapingamizi dhidi ya wagombea wengine katika nafasi ya Urais wa JMT, baada ya hapo atazungumza na Waandishi wa Habari Ofisi za Chadema, Kanda ya Kati, jijini Dodoma.
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
Agosti 26, 2020
====
Tundu Lissu amewawekea Pingamizi Wagombea Wawili wa Urais. Amewawekea pingamizi Ibrahim Lipumba wa chama cha CUF na Dr. John Magufuli wa chama cha CCM.
Hadi muda unaisha, hakuna aliyemuwekea Pingamizi Tundu Lissu. Hivyo kaondoka na kuelekea Ofisi za CHADEMA za Kanda kuongea na Wanahabari.
Zaidi, soma:
Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais
Uchaguzi 2020 - NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM
Uchaguzi 2020 - Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA
View attachment 1548762View attachment 1548764
Huwa dawa ya mchawi unamkabidhi mwanao alee ,ila huwa inafika mahalo anaogopa kufanya ubaya anabaki kulalamika umemsusia mtotoSiyo kuwa anafanya yote ambayo ni haki yake katika mazingira magumu kwa sababu ya wachawi nyie?
Elimu ya Rais wetu ina shida Sana!!! Ile shule uwa inachukua wanafunzi waliofeli kwingine, waliofukuzwa, au walioshindikana kwingine.Lake secondary na Ilboru wapi na wapi ?
Mimi nadhani Lissu ameweka pingamizi sio kwa sababu anataka Rias aenguliwe kwenye kinyang'anyiro bali ni ili aonyeshe kwamba hata kama mpinzani wako ni mkuu wa nchi, kisheria una haki ya kumpinga kulingana na vifungu vya sheria zilizopo
Anakubalika kwako wewe na watoto wako sio kwa watanzania wote wee vpEndeleeni kurukaruka kama njugu.
Huyo anayehitajiwa huko mitaani alikokuwa anazunguka mara mtaa wa jojo na mitaa ya firigisi watakutana kupeana pole uko huku mitaani kwao.
Mhe. Dr. Magufuli, ndiye Rais wa Tanzania anakubalika kwa Watanzania wote.
Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Lissu is not fit for office
Kwa hiyo wewe kwa akili yako kabisa unaamini pale kuna pingamizi lenye maana la kumuondoa Magufuli kwenye ugombea?
Au unafikiri kwakuwa tu linaitwa pingamizi basi pingamizi lolote lina maana?
Lisu angekuwa na akili angetumia huo muda kuwasaidia wagimbea wake ambao majimbo yao yametwaliwa na ccm kuliko kupoteza muda hapo kwenye tume