Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Ataingia kwenye vitabu vya historia na ataimbwa vizazi na vizazi.

Kuna watu wanakutanaga na life time opportunities lakini kamwe hawazitumii.

Kaijage please! weka legacy mzee wangu maana dunia tunapita tu hii,waaachie wajukuu na wanao cha kujivunia please..!!
 
Delete ccm Oct 28
 
Uzuri wa Lissu watu wengi bado hawajamuelewa yeye siku zote uwa anapenda haki, sheria ifuatwe na haki itendeke.

Ujanja ujanja kwake no Ni kusimamia ukweli.
Muogope sana mtu anayeishi kwa kutegemea kuonewa huruma. Huyu hana chochote cha maana ila anatafuta kuzungumziwa tu na unaweza muuliza sababu za pingamizi lake akakwambia anapigania uhuru wa vyombo vya habari.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dah this is future impossible tense.
 
Najaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizi wagombea wenzake kwenye mitandao mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana na zinazopatikana ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.

Je, tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?

Kama liko na kwa wengi, je tatizo ni nini?

Nawaza!!

Update:
Hatimae nimepata link kutoka kwa Hilda Newton kwenye akaunti yake ya Twitter

Ni hii:

https://t.co/l1bisaYy2X?amp=1
 
Ask any political advisor he will tell you that Lisu is wrong when election is near you highly need support from all parties including ruling party members
 
Mkuu, Rais wa nchi ndiye kiongozi wa taasisi nyeti ya uraisi. Nyuma yake ana usaidizi wa mwanasheria mkuu na hata wizara ambayo inahusika na mambo ya sheria.

Sidhani kama wateule wake wote watakuwa ni wazembe kiasi cha kuweza kufanya makosa ambayo yatapelekea bosi wao kuwekewa mapingamizi yenye dosari kubwa za kisheria. Kama likitokea jambo hilo, litahesabika kama hujuma kwake.

Ole itakuwa ni kwa Mwigulu, na kwa wasaidizi wengine. Kwa maana watashukiwa kama radi.
 
Nenda kwa kigogo 2014 Twitter Kuna moja anayo iko poa aneshare
 
hata mimi, hazipatikani. Makene mwenye namba yake amwambie atuwekee. Lisu atawasumbua sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…