upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Ataingia kwenye vitabu vya historia na ataimbwa vizazi na vizazi.Za Jioni wanachama wa JamiiForums,
Najaribu kufikiria kitu kitakachotokea ikiwa Jaji Kaijage aamue kukomaa kweli kweli na kumuengua Rais Magufuli kuwa mgombea wa Urais kupitia CCM kufuatia pingamizi lililowekwa na Tundu Lissu.
Waweza kuja na mawazo yako ili tujifunze.
Yote kwa yote Tundu Lissu ametufumbua macho watanzania, nadhani hata Rais Magufuli mwenyewe kastuka sana na kuingiwa na woga.
Muda utaamua.
Kuna watu wanakutanaga na life time opportunities lakini kamwe hawazitumii.
Kaijage please! weka legacy mzee wangu maana dunia tunapita tu hii,waaachie wajukuu na wanao cha kujivunia please..!!