Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

Hata kule M4C hakuna!
 
Kwaheri doctor
 
Naona pingamizi hili limefurahisha watu! Ila angewekewa yeye watu wangeanza kulia. Tusubiri namba sitasoma vizuri na tusije kuwa na visingizio vya kitoto
 
Hakika huyu mtu hayupo vizuri upstair. Ameshindwa kabla hajaanza. Yaan ni comedy tupu! Bora Hashim Rungwe tule tu ubwabwa aysee. Huu muda angeutumia kufanya utulivu ili aweze kupambana na jiwe. Yeye analeta comedy?
 
Lissu kafadhaishwa na navyopuuzwa. Alitegemea akirudi "ataghasiwa" ili apate huruma ila wapi. Si polisi wala serikali, hawana taimu nae na kikubwa zaidi wananchi wamempuuza.
these are last kicks of the dying horse....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we jifariji tu, mguseni muone.
 
Hakika huyu mtu hayupo vizuri upstair. Ameshindwa kabla hajaanza. Yaan ni comedy tupu! Bora Hashim Rungwe tule tu ubwabwa aysee. Huu muda angeutumia kufanya utulivu ili aweze kupambana na jiwe. Yeye analeta comedy?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huo ni mtego kwa tume kama wapo huru au laah sasa wajichanganye kuyapuuza hayo malalamiko ndio mtajua hamjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…