Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

Hujakatazwa kubutubia ukitaka fanya ukishakuwa huvunji sheria kama kila anachoamua kutakakufanya mnachukia usisikilize anayoyatakakuongea.
 

Ww lazima utakuwa ni mzee, ndio maana unadhani hizi ni enzi za redio Tanzania, ambapo chombo cha habari kilikuwa ni Radio Tanzania tu. Sasa hivi vyanzo vya habari viko tele, kila mtu anasikiliza chombo au chanzo apendacho. Hao viongozi majizi ya kura subiri uwasikilize ww huko TBC, sisi tutamsililiza kupitia MB zetu na hakuna wa kutuzuia.
 
Watu wanajipa mamlaka ambayo hawana.

Anahutubia Taifa kama nani??
 
Hakuna Cha maana atazungumza. Kilichofanya nimdharau na kuona ana ubongo mwembamba ni pale alipo halalisha ushoga huwez niambia kitu nikakuelewa kuhusu huyu zwazwa
 
Hakuna Cha maana atazungumza. Kilichofanya nimdharau na kuona ana ubongo mwembamba ni pale alipo halalisha ushoga huwez niambia kitu nikakuelewa kuhusu huyu zwazwa
Tony Blair alikuwa Ikulu mwezi uliopita na Ameteuliwa na Rais kuwa Mwakilishi promoter wa Nchi ya Tanzania Je utaihama nchi?
 
Tupo sisi wa taifa lake la Tanganyika. Wewe lala tu ukijiona huhusiki, hulazimishwi...
 
Asante tunasubiri ,tumechoka mipasho ya viroboto na wahuni
 
Taifa limsikilize TAL? Hauko serious. Ungesema wafuasi wake wawe tayari kumsikiliza sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…