Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

Kulihutubia Taifa? Ana Taifa gani? Chadema wanaongoza Taifa gani ugaibuni?
 
Hayo mahitaji unayoyaita ya wananchi mbona ccm wamegaragara nayo miaka 60 hayatimii. Inzi wa kijani wewe, chawa mkubwa. Majitu yenu yaliyofyatuka vichwa kama ndugai wanakurupuka hapa na kauli tata ndio unaona wanaongea ya maana?
 
Nje ya mada; hivi masikio ya mh. Ndiyo yalivyo kwa sasa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wanajadili hotuba za bavicha wewe unajadili masikio[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ndo huwezi kulihutubia taifa. Lissu ana uwezo huo na watu tupo tayar kumsikiliza. We are waiting. Wewe cku hiyo kufa ili usisikie. Maana ukiwa hai lazima ujue alichosema hata kama hutaki.
 
Taifa la wadanganyika Tena waliojaribu kionyofoa roho yake , ila Mungu akasema Bado anampango na maisha yake🤔.
Mwambie arudi ajenge nchi yake sio ananapiga kelele huko na kubugia michango ya Twaweza
 
Ivi Waalimu mmesha acha kubweka bweka Kama mbweha?? Vimishahara vyenu kiduchu, sijui vidude gani.
 
Hahahaa...Taifa la wapumliwa visogoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…