Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

Lakini watu wengi wanamfuata sana T Lissu, pengine NI YEYE Kweli! Tuwe na subira tu.
 
What a load of nonsense, kuendelea kumchekea Lissu ni ku entertain his fantasy; yaani azuie shughuli za watu wengine barabarani kisa tu kichwani kwake anajiona ni sawa na raisi.

This joke has gone too far.
Sawa
 
Nou
Mmheshimiwa, kama hufuati ratiba, jee polisi wafanye nini? na ratiba ni ya nini? kwa nini tunakuwa na ratiba? ajitahidi kufuata ratiba mikoa mingine.

Kuna sehemu akikutana na askari ambae anafahamu sheria atakwama.
Wewe ni Mpuuzi Kama walivyowapuuzi wengine, Mgombea wenu anasimama kila mahali hajawahi kupingwa mabomu. Mwaka huu jino kwa jina jeshi la mtu mmoja TL ananyoosha= polisi+Nec+ccm
 
Patient has its limit jamaa wa ulinzi na NEC washamvumilia sana out of pity lakini bichwa lake linazidi kuwa kubwa; watch this space.

Even if you lose your patience to the death limit, nothing is going to stop Tundu Lissu to get what he wants...!!
 
Polisi kafyata Maskini, Kapewa hoja za nguvu kama kasimama kizimba Cha MAHAKAMA,

Kakosa hata Jibu la uongo, Kama Ingekuwa MAHAKAMANI Keshaenda Jela, Maana ni Kama alikuwa anasutwa, Amekuja Moto karudi Baridi.
Mkuu huyo mwamba ametumwa na Mungu aiokoe Tanzania kutoka utumwa Wa ccm,amepewa mamlaka akiongea ni sauti ya Mungu mwenyewe,lazima uufyate.
 
Watanzania wenzangu na wanachadema wenzangu tusipo angalia vizuri huyu Tundu Lissu atatupeleka pabaya, tumeishi kwa amani na upendo kwa miaka mingi lkn sasa anataka kutuchonganisha sisi kwa sisi, hatutaki kabisaaa
Unatia kinyaa
Lissu Ndio kapiga watu mabomu?
Jiwe Ndio kagawa nchi kiukabila na kiukanda Sasa tutegemee chochote
 
Election keshokutwa US ebu tuwaelize Diaspora Trump security privilege zimepunguzwa kipindi hiki?

Acheni kumuongopea huyo Lissu yeye sio Magufuli. Mgombea wa 2025 wa CCM na wa upinzani ndio mtaweza linganisha. Lakini this time anashindana na incumbent president they are not equal on the campaign trail.

Tatizo mamlaka zimetumia busara kwa muda mrefu kumuacha Lissu ajisikie yupo nyumbani na maisha yake ni salama, ila he is abusing that goodwill gesture kila siku mara uongo, kejeli, kuvunja sheria, kuhamasisha fujo huyu mtu sasa anaanza kuamini kweli he is untouchable.
 
As I have always been saying, Lissu has a mandated responsibility to report EACH AND EVERYTHING related to our 2020 General Elections to AMSTERDAM AND Company, ndiyo maana akiandika on any activities lazima aandike kwa Kiingereza ili hao waliomtuma wajue nini kinaendelea KWANI HE IS BEING PAID FOR THAT! And this report, like all others, is a continuation of Lissu's FABRICATED MISGUIDED AND MALICIOUS LIES as taught by the Amsterdams.
 
Even if you lose your patience to the death limit, nothing is going to stop Tundu Lissu to get what he wants...!!
Atasimamishwa na wapiga kura kwa wingi wetu, sio mimi peke yangu. Muhimu ni kuheshimu taratibu za uchaguzi ambazo amekuwa akizisigana the moment he touched down.

Amedekezwa vya kutosha mtoto umleavyo ndio akuavyo and Lissu is becoming a spoilt brat. Wasitegemee huyo mtu atafanya siasa za kistaarabu keshapewa muda wa kutosha but he is abusing the welcoming gesture, wakisema waendelee kumchekea waswahili usema ‘majuto ni mjukuu’ time will tell, the guy has serious psychological issues to ignore his behaviours.
 
Kwaninin wamshabulie Lissu,mbona Magufuli huwa anasimama njiani kuwasalimia wananchi hata kama ratiba si yake? Huu ni wakati wa siasa acheni wafanye siasa,CCM na polisi mbona wananchi wanawalilia kila kona?
 
Watanzania wenzangu na wanachadema wenzangu tusipo angalia vizuri huyu Tundu Lissu atatupeleka pabaya, tumeishi kwa amani na upendo kwa miaka mingi lkn sasa anataka kutuchonganisha sisi kwa sisi, hatutaki kabisaaa
Kivipi mkuu, ebu fafanua
 
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya, William Mkonda amekanusha uvumi kuwa msafara wa mgombea Urais kupitia Chadema, Tundu A Lissu umepigwa mabomu eneo la Nyamongo, amesema mabomu yalipigwa kutawanya wafuasi waliokuwa wakiwashambulia askari wa jeshi hilo.

Source:
 
Muonyeshe hii video
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu umeongea nini hapa, Kama rais anataka kubaki ofisin Basi asigombee,ila elewa mpaka Sasa Kama mgombea yuko sawa na wagombea wengine ,msitishe watu, yupo alie na yupo kweli mtakipata mtakacho
 
Hayo ndio maagizo ya Dodoma yanafanyiwa kazi na sisi wananchi tujiandae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…