Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Amen. Tusichoke kuwapa masomo wale waliokuwa wameanza kuabudu na kujivunia ukatili na ushetani
 
Kwamba Samia ndio Kamlipa ? Hii nchi itakuwa ya Kifalme kama vile ambavyo tungekasirika uweze wa JPM kuzuia ndio tukasirike uwezo wa Rais kulipa..., Ifike wakati tuwe na Taasisi zinazofuata sheria inasema / inataka nini sio mtawala anaamua nini
Sasa kama kila mbunge alikuwa keshalipwa na yeye ikatamkwa kuwa hadai chochote, kaongea na Samia akalipwa, sasa hapo utasema nani kamlipa? Haijakaa sawa ila ndio nchi yetu ilivyo
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu hata siku moja.
Haki ya mtu huwa haipotei isipokua uchelewesha tu na wenye HUSDA.

Magufuli alistahili kufa, kuoza na kufukiwa ila sio kwenye ardhi ya Tanganyika. Angesafirishwa kwao Burundi kwa WASHENZI waliomzaa HAYAWANI huyu.
 
Arudi nyumbani sasa .
 
Mama anaupiga mwingi jamani. Magu roho mbaya yake haina nafasi
 

Siasa ni sayansi
Safi sana rais wetu
 
Mama anaupiga mwingi jamani. Magu roho mbaya yake haina nafasi

Hahahaaaa kwenye siasa kuna hesabu zake mkuu, kikubwa ni matumizi sahihi ya mtaji kwa wakati sahihi

Rest well our hero John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais Samia suluhu Hasan
 
Ni uungwana kukiri hadharani. Nimefuatilia mazungumzo husika club house - kweli Lissu ana kipawa cha kipekee sana kuelezea issues na kukumbuka issues. Kukiwa na Presidential Debate na candidate yeyote ataupiga mwingi sana.
 
Hakuna dini ingeweza kukubalianna na vitendo vyake. Yale yalikuwa ni matashi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…