Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Jambo jema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini za uislamu na ukristo ni matokoe ya utumwa uliwatendea maovu mababu na mabibi zetu. Nashangaa sana mtanzania kupigania hizi dini. Je ni kukosa uelewa au ni makusudi tu ya kukataa kukubali historiaAcha udini we Kafiri, mbona JPM alimtoa Babu Seya jela ambaye aling'ang'aniwa miaka na miaka na yule Muislamu lakini hukusema kuwa Wakristo wa Bongo wana roho nzuri sana kuliko Waislamu [emoji848][emoji19]
Ficha upumbavu wako [emoji34]
DaaaahWaislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Kuna wakati najiuliza ilikuwaje akina JK na Kamati Kuu ya CCM walituletea yule Shetani wa Chato. Kweli TISS hawakujua kuwa Magufuli ana vinasaba vya Burundi?Siasa ni sayansi.
Naunga mkono kwa namna mama anavyoenda na wapinzani.
Huko kwenye ubunge ndiyo kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Majimboni CCM wajipange sana, hakutakuwa na kubebana.
Ndo maana amesema kalipwa kila kitu.Asije wakati wa kampeni akasema hakulipwa stahiki zake.
Wengine akili zenu mnazijua wenyewe na familia zetu.... Kama alikuwa na hilo lengo si angechukua kimya kimya.Asije wakati wa kampeni akasema hakulipwa stahiki zake.
AbsolutelyWaislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Sijui Ndugai anajisikiaje kwa sasa....!!..mbona Ndugai alikuwa akisisitiza na kujiapiza kuwa Lissu hadai chochote?
Warithi wa roho ya yule shetani aliyefukiwa March 2021 watachukiaKuna wana CCM hawatapenda hii kitu.
Umepata "likes" 39 kwa comment yako hii...yaani watu 39 ambao mnafanana upeo (bongo zenu zinarusha frequency usawa wa magoti yenu) wanakupongeza! Sijakosea mkuu binadamu anarusha mawimbi kama mnara wa voda na pia anapokea mawimbi ila ukubwa na nguvu ya mawimbi anayopokea yanategemea pia kiwango chake cha uelewa!Waislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Huoni anaweweseka hataki ubunge tena. Shetani kama shetani wa cha to...mbona Ndugai alikuwa akisisitiza na kujiapiza kuwa Lissu hadai chochote?
asante sanaKuna wakati najiuliza ilikuwaje akina JK na Kamati Kuu ya CCM walituletea yule Shetani wa Chato. Kweli TISS hawakujua kuwa Magufuli ana vinasaba vya Burundi?
Sincerely Watanzania hata kama tuna itikadi tofauti upendo unabaki palepale kama tunavyoona Rais Samia anavyotuliza tuliza nchi.
Mungu Amjalie Rais Samia Afya Njema ili atuvushe salama
Asije wakati wa kampeni akasema hakulipwa stahiki zake.
Devoted Muslims have a clear sense and meaning of ''justice'' than the other devoted and pious imitators
Afu hao ambao wanawapigania unakuta wanawaona kama kenge tu [emoji38]Dini za uislamu na ukristo ni matokoe ya utumwa uliwatendea maovu mababu na mabibo zetu. Nashangaa sana mtanzania kupigania hizi dini. Je ni kukosa uelewa au ni makusudi tu ya kukataa kukubali historia
na ndiyo maana karudi kwao kongwa, alifeli kusoma upepo.