Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

Acha udini we Kafiri, mbona JPM alimtoa Babu Seya jela ambaye aling'ang'aniwa miaka na miaka na yule Muislamu lakini hukusema kuwa Wakristo wa Bongo wana roho nzuri sana kuliko Waislamu [emoji848][emoji19]

Ficha upumbavu wako [emoji34]
Dini za uislamu na ukristo ni matokoe ya utumwa uliwatendea maovu mababu na mabibi zetu. Nashangaa sana mtanzania kupigania hizi dini. Je ni kukosa uelewa au ni makusudi tu ya kukataa kukubali historia
 
Siasa ni sayansi.
Naunga mkono kwa namna mama anavyoenda na wapinzani.

Huko kwenye ubunge ndiyo kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Majimboni CCM wajipange sana, hakutakuwa na kubebana.
Kuna wakati najiuliza ilikuwaje akina JK na Kamati Kuu ya CCM walituletea yule Shetani wa Chato. Kweli TISS hawakujua kuwa Magufuli ana vinasaba vya Burundi?

Sincerely Watanzania hata kama tuna itikadi tofauti upendo unabaki palepale kama tunavyoona Rais Samia anavyotuliza tuliza nchi.

Mungu Amjalie Rais Samia Afya Njema ili atuvushe salama
 
Mama kazi unayoifanya ni nzuri sana.

Hongera kwa kuleta maafikiano.
 
Mama ana utu sana ....akiwa fit anatufaa 2025....Labda achoke yeye aamue kupumzika
 
Waislamu wa bongo wanaroho nzuri sana kuliko wakristo sijui kwanini
Umepata "likes" 39 kwa comment yako hii...yaani watu 39 ambao mnafanana upeo (bongo zenu zinarusha frequency usawa wa magoti yenu) wanakupongeza! Sijakosea mkuu binadamu anarusha mawimbi kama mnara wa voda na pia anapokea mawimbi ila ukubwa na nguvu ya mawimbi anayopokea yanategemea pia kiwango chake cha uelewa!

Mkuu hebu jaribu siku moja kuwaza nje ya box la hizi dini ambazo tuliletewa na waliozileta wameziacha kuzitumia!
 
Kuna wakati najiuliza ilikuwaje akina JK na Kamati Kuu ya CCM walituletea yule Shetani wa Chato. Kweli TISS hawakujua kuwa Magufuli ana vinasaba vya Burundi?

Sincerely Watanzania hata kama tuna itikadi tofauti upendo unabaki palepale kama tunavyoona Rais Samia anavyotuliza tuliza nchi.

Mungu Amjalie Rais Samia Afya Njema ili atuvushe salama
asante sana
 
Dini za uislamu na ukristo ni matokoe ya utumwa uliwatendea maovu mababu na mabibo zetu. Nashangaa sana mtanzania kupigania hizi dini. Je ni kukosa uelewa au ni makusudi tu ya kukataa kukubali historia
Afu hao ambao wanawapigania unakuta wanawaona kama kenge tu [emoji38]
 
Back
Top Bottom