Good boy
 
Wewe tatizo huweki vyanzo. Una tabia ya kuwalisha maneno hao unao wanukuu.
 
Makubwa!…
 
Baadae ya kiki ya kuzurura Mikoani kubuma Sasa chadomo wanatembea na kiki ya Bandari

Chama Cha matukio [emoji16][emoji16]
We mjinga hoja ni Bandari, kama vipo fungua maada ya mikutani kubuma tuijadili
 
Maaskofu, Wananchi wote, wanansheria TLS wao wanatumiwa na nani?
Wananchi wote nani na nani? Mbona sisi ni wananchi na tunapinga kufanywa watumwa wa kuburuzwa na wakenya.

Inanikumbusha Loliondo, waliohamishwa pale ni watanzania, lkn walioandamana ni wakenya 😂😂
 
Aliyekwambia mamlaka ni moja mpaka Zanzibar ni nani? Zanzibar ina DG wake kinyume na katiba
 
Hii DP world itasimamia bandari za Tz nzima mpaka za Zanzibar ( maana ni sehemu ya Tz) au Tanganyika tu kama Lissu anavyodai ? Kwani mamlaka ya bandari si hiyo hiyo moja ?.....
Hakuna mtu makini kwa sasa kuliko Lissu.

Nawe jaribu kujiongeza kidogo, swala hili la Bandari limeongelewa sana humu JF na nje ya hapo. Itakuwia vipi vigumu kutambua hadi sasa kwamba Bandari za Zanzibar hazihusiki? Hujui kuwa anayesimamia bandari Zanzibar ni Zanzibar Ports Corporation,(ZPC) na siyo Tanzania Ports Authority (TPA)?

Kiufupi ni kwamba Samia katika jambo hili anafanya hila za maksudi kabisa kunadi mali za Tanganyika, huku akiwatumia waZanzibar wenzake, huyo Mbarawa na Katibu Mkuu wa Wizara.
Watu hawawezi kupuuza hitimisho la namna hiyo, hasa kutokana na ulaghai mwingi unaoonekana kufanyika kufanikisha jambo hili.

Lakini jambo linaloshangaza hasa ni huyu Samia ujasiri huu wote anautoa wapi? Sidhani kuwa, pamoja na kuwa Rais wa nchi, angeweza kufikia uamzi wa namna hii yeye pekee bila ya kuwahusisha baadhi ya waTanganyika wenye nyadhifa kubwa, au waliowahi kushika madaraka makubwa ndani ya nchi hii.

Nakataa kabisa kabisa, kwamba hii siyo kazi ya Samia na vidagaa vidogovidogo, kama akina Msukuma. Hii ni kazi ya Mapapa haswa. Sasa tunawaona hata akina Roast wakijitokeza kutetea ujinga huu.
 
Wananchi wote nani na nani? Mbona sisi ni wananchi na tunapinga kufanywa watumwa wa kuburuzwa na wakenya.

Inanikumbusha Loliondo, waliohamishwa pale ni watanzania, lkn walioandamana ni wakenya 😂😂
Nyie mmeshanunuliwa, mpo upande wa mnunuzi
 
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar alishasema TPA ni ya Tanzania Bara tu kule Zanzibar Wana ZPA na kila Moja unajitegemea!
 

..Znz ina mamlaka yake ya bandari.

..Na sheria ya uanzushaji wa Tanzania Ports Authority inaelekeza kwamba itashughulika na bandari za Tanganyika tu.

..muungano una ujanja-ujanja mwingi na watu wakisema wanashambuliwa kuwa ni wadini na wabaguzi.

..Wazenj wakikosolewa ni wepesi kujificha ktk dini na ubaguzi.
 
Mmeshindwa kuandamana na silaha yenu iliyobakia ni kushutumu na kupanda mbegu ya chuki kwa majina ya kificho.

Hili suala litaisha kwa upande wa watu wa aina yako kushindwa na kuhamishia magoli kwenye hoja nyingine.
 
Tanganyika Kwanza
 
Kweli Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…