Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kumbe 😀😀Maulidi Kitenge tapeli lile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe 😀😀Maulidi Kitenge tapeli lile
Uraia wa Tanganyika walikuwa nao kina Mkapa, Kikwete na Nyerere na bado mkaja na hoja za lawama.Tatizo ni katiba yetu mbovu, inampa absolute power rais ambaye siyo raia wa Tanganyika kufanya lolote altakalo bila hofu ya kuhojiwa wala kushitakiwa na chombo ama mtu yeyote.
Kwa kauli hizi za Tundu Lisu nayaona maridhiano yakitumbukia kwenye tundu la choo
majibu ya akili ndogo utayaona tuMbona hajaja kuandamana sasa leo
Usijidanganye.Uraia wake kuuhoji ni kujaribu kumkwaza lakini ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine wowote ule, kwani Rais anazo nguvu nyingi sana na vyombo vyote vya utendaji vipo chini yake
Wewe kwako suala hili unaliona liko sawa? Kama unaliona liko sawa basi una mtindio wa ubongo.Baadae ya kiki ya kuzurura Mikoani kubuma Sasa chadomo wanatembea na kiki ya Bandari
Chama Cha matukio [emoji16][emoji16]
Yes wao ni wazuri sana wa kulalamika ubaguzi ingawa ni wabaguzi wakubwa sana..Znz ina mamlaka yake ya bandari.
..Na sheria ya uanzushaji wa Tanzania Ports Authority inaelekeza kwamba itashughulika na bandari za Tanganyika tu.
..muungano una ujanja-ujanja mwingi na watu wakisema wanashambuliwa kuwa ni wadini na wabaguzi.
..Wazenj wakikosolewa ni wepesi kujificha ktk dini na ubaguzi.
Kwa hili amenikosha sana!Huyu ndiye Tundu Lissu ninayemfahamu. Huwa hamkopeshi mtu.
🤣🤣😅🤣😅🤣🤣Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa milele. Namaanisha hadi bahari itapokauka!"
Kwangu ubinafsishaji ni sawa ila lugha inayotumika na kulitumia Kisiasa sio sawa, vipengele vinavyoleta shida viangaliwe ila sitaki kabisa Bandari ibaki Kwa Wabongo maana wanaitumia kama shamba la bibi na wanapitisha mizigo Kwa vimemoWewe kwako suala hili unaliona liko sawa? Kama unaliona liko sawa basi una mtindio wa ubongo.
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...
Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyo nayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.
Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa milele. Namaanisha hadi bahari itapokauka!"
Mimi ninao huo MKATABA lakini sijaona wapi pameandikwa tutapata hizo hela zinazosemwa na wapambe waliohongwa."
Ni wazi wao kuanzia Samia, Mbarawa na Katibu mkuu wa wizara husika ni WAZANZIBAR na kwa makusudi wameuza mali ya Tanganyika kwa sababu haiwahusu!"
Wengi wenu mnafikiri ni bandari pekee imeuzwa na hao WAZANZIBAR mnajidanganya! Kwa mjibu wa MKATABA hiyo reli ya Magufuli na mabarabara ni ya waarabu hadi maeneo yote maalum ya kibiashara yanakuwa yao."
Bandari kavu kwa mfano ile ya Isaka na zingine zote zinakuwa za waarabu wameuziwa na Samia ambaye ni Mzanzibar."
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
Kama kweli huo mkataba una manufaa na faida kwanini hao WAZANZIBAR ( Samia na Mbarawa ) wameziacha bandari zao?!"
HATUPO TAYARI RASILIMALI ZETU WATANGANYIKA ZIUZWE HOVYO NA WAZANZIBAR - HATUPO TAYARI NASEMA!"
Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"
Lissu.
Bandari inauzwa wewe unalegeza mattyakko yako.Baadae ya kiki ya kuzurura Mikoani kubuma Sasa chadomo wanatembea na kiki ya Bandari
Chama Cha matukio 😁😁
Hapana ,Mimi nataka ibinafsishwe,hiyo Bandari ma ccm wanaitumia kupitisha mizigo Yao na ya mahawala bila kulipia na pia imekuwa shamba la bibi ndio maana Kuna inefficiency..Na wewe mzanzibari nini?
Duh.. hatari..Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...
Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyo nayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.
Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa milele. Namaanisha hadi bahari itapokauka!"
Mimi ninao huo MKATABA lakini sijaona wapi pameandikwa tutapata hizo hela zinazosemwa na wapambe waliohongwa."
Ni wazi wao kuanzia Samia, Mbarawa na Katibu mkuu wa wizara husika ni WAZANZIBAR na kwa makusudi wameuza mali ya Tanganyika kwa sababu haiwahusu!"
Wengi wenu mnafikiri ni bandari pekee imeuzwa na hao WAZANZIBAR mnajidanganya! Kwa mjibu wa MKATABA hiyo reli ya Magufuli na mabarabara ni ya waarabu hadi maeneo yote maalum ya kibiashara yanakuwa yao."
Bandari kavu kwa mfano ile ya Isaka na zingine zote zinakuwa za waarabu wameuziwa na Samia ambaye ni Mzanzibar."
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
Kama kweli huo mkataba una manufaa na faida kwanini hao WAZANZIBAR ( Samia na Mbarawa ) wameziacha bandari zao?!"
HATUPO TAYARI RASILIMALI ZETU WATANGANYIKA ZIUZWE HOVYO NA WAZANZIBAR - HATUPO TAYARI NASEMA!"
Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"
Lissu.
Mjinga ni wewe, Bandari imefanya nini?We mjinga hoja ni Bandari, kama vipo fungua maada ya mikutani kubuma tuijadili
Kama wewe ni mkubwa kaandamane basiUtoto mtupu