Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu
Kama bandari zote zikishikwa na Muarabu, na Zanzibar hali ya hewa ikachafuka in favour ya Muarabu, jeshi letu litapita wapi kwenda Zanzibar? Je tunao uwezo na nguvu ya kijeshi ya kumnyang'anya Muarabu hizo bandari?

Huenda Wazanzibar wanaitaka nchi yao kwa kuanza na mkakati wa kuidhoofisha Tanganyika kiulinzi. Sote ni mashahidi jinsi China anavyomtisha Taiwan kwa Drill za kijeshi kila siku. Je Bandari za China zinazoelekea Taiwan zingekuwa chini ya. Mmarekani nini kingetokea?

Mabeberu wengi wanaitamani sana Zanzibar kiulinzi na kimaslahi wakati huo huo Wazanzibar hawaitaki Tanganyika. Wanaiona bright future kwa Waarabu na Ulaya huko.

TISS jaribuni kuchukua hili wazo la mpuuzi linaweza kuwa na hekima fulani
 
Halafu wanapeleka bungeni na wabunge wa Zanzibar wanabariki kuuzwa Tanganyika huyu mama yeye na kizazi chake waende uarabuni
 
..Znz ina mamlaka yake ya bandari.

..Na sheria ya uanzushaji wa Tanzania Ports Authority inaelekeza kwamba itashughulika na bandari za Tanganyika tu.

..muungano una ujanja-ujanja mwingi na watu wakisema wanashambuliwa kuwa ni wadini na wabaguzi.

..Wazenj wakikosolewa ni wepesi kujificha ktk dini na ubaguzi.
Kama hatujui ni bora tutulie tu ila tusitende dhambi katika hili. Hili hata mtoto mdogo anaweza kuuliza sidhani kama kuna mtu hapendi kunufaika na wawekezaji hapa duniani. Tutulie tu.
 
Nguvu kubwa ya CDM na wote walio nyuma yake katika suala zima la port imeshafahamika chanzo chake ni kina nani.
Hili siyo swala la CDM, ni swala la WaTanganyika (hapana) ni swala la waTanzania wote.

Watu kama wewe mnaotafuta visingizio vya kipuuzi, tena visivyo na uhusiano wowote msidhani waTanzania hawawezi kuuona ujinga huo.

Hicho "chanzo" hata kukitaja unashindwa kwa kujua ujuha ulio nyuma ya mawazo ya namna hiyo?
 
Suala la bandari ni vita ya kiuchumi na mkuu Kalamu kaamua kuisaliti nchi yake kwa vipande thelathini vya fedha kama Yuda.

Lakini mwisho wa usaliti unakaribia. Tutaibuka washindi katika vita hii iliyojaa maadui tunaokula nao chakula meza moja.
 
Kama hatujui ni bora tutulie tu ila tusitende dhambi katika hili. Hili hata mtoto mdogo anaweza kuuliza sidhani kama kuna mtu hapendi kunufaika na wawekezaji hapa duniani. Tutulie tu.
LOooh!
Na wewe pia umo, na wala huelezi chochote unachokijua na sisi wengine tukijue?

Tueleze uzuri wa masharti yaliyomo kwenye makubaliano; sote uzuri wa "wawekezaji" tunaufahamu; uwekezaji wenye "kunufaisha" hatuna tatizo nao.

Hivi akili zenu mbona zinagota namna hii?
Mnaacha kuelezea jambo linalolalamikiwa, mnakimbilia kwenye lisilo pingwa, kwa nini?
 
..Znz ina mamlaka yake ya bandari.

..Na sheria ya uanzushaji wa Tanzania Ports Authority inaelekeza kwamba itashughulika na bandari za Tanganyika tu.

..muungano una ujanja-ujanja mwingi na watu wakisema wanashambuliwa kuwa ni wadini na wabaguzi.

..Wazenj wakikosolewa ni wepesi kujificha ktk dini na ubaguzi.
Bahari ndio Jambo la Muungano pamoja na Lakes na River

Bandari siyo jambo la Muungano 😄
 
LOooh!
Na wewe pia umo, na wala huelezi chochote unachokijua na sisi wengine tukijue?

Tueleze uzuri wa masharti yaliyomo kwenye makubaliano; sote uzuri wa "wawekezaji" tunaufahamu; uwekezaji wenye "kunufaisha" hatuna tatizo nao.

Hivi akili zenu mbona zinagota namna hii?
Mnaacha kuelezea jambo linalolalamikiwa, mnakimbilia kwenye lisilo pingwa, kwa nini?
Bado hujanielewa boss, jaribu kusoma tena nilichokiandika
 
Mbna tunachanganywa jmn tumsikilize Nani ,prof kitila anasema hili na lisu hili ,lema hili ,mbowe hili ,pengo hili.

Nani tumsikilize

Embu kwa heahima na taadhima Samia achan na huu mpngo fanya mamb mengine
 
Kama hatujui ni bora tutulie tu ila tusitende dhambi katika hili. Hili hata mtoto mdogo anaweza kuuliza sidhani kama kuna mtu hapendi kunufaika na wawekezaji hapa duniani. Tutulie tu.
Nani atulie , unaumwa wewe , alaf nyie wavaa kobaz mnaxingua sana
 
Suala la bandari ni vita ya kiuchumi na mkuu Kalamu kaamua kuisaliti nchi yake kwa vipande thelathini vya fedha kama Yuda.

Lakini mwisho wa usaliti unakaribia. Tutaibuka washindi katika vita hii iliyojaa maadui tunaokula nao chakula meza moja.
Kwa hiyo wewe unamwona 'Kalamu' kuwa hana akili kichwani?
Usinifanye nikudharau sana kwa ujinga wa namna hii.

Sasa mnaokoteza visababu mbalimbali ili mradi mtimize lengo la kuvuruga nchi?
Eti "vita ya kiuchumi"?

Halafu unione mimi kuwa "msaliti wa nchi", na wala hujui chochote kunihusu mimi, na ninapambania maslahi ya nani huyo anaye nilipa hivyo vipande?

Hivi unaelewa kinachoendelea hapa, au unajiandikia tu mradi uandike?

Huoni hao wasaliti wanaojificha wakati wakituingiza kwenye mikataba mibovu, halafu wewe hapa unageuka na kulaumu wasiohusika kabisa?

Wewe unalipwa na nani.

Tueleze uzuri wa masharti ya hayo makubaliano. Hapo utakuwa umemaliza kazi ya uzalendo wako.
 
Back
Top Bottom