lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
kamsikilize lissu katoa facts tupu.Hapo kaongea kwa hisia bila facts
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamsikilize lissu katoa facts tupu.Hapo kaongea kwa hisia bila facts
Kama na wewe ulivyo wa matukioBaada ya kiki ya kuzurura Mikoani kubuma Sasa chadema wanatembea na kiki ya Bandari
Chama Cha matukio 😁😁
Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"[emoji419][emoji375]Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...
Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.
Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa milele. Namaanisha hadi bahari itapokauka!"
Mimi ninao huo MKATABA lakini sijaona wapi pameandikwa tutapata hizo hela zinazosemwa na wapambe waliohongwa."
Ni wazi wao kuanzia Samia, Mbarawa na Katibu mkuu wa wizara husika ni WAZANZIBAR na kwa makusudi wameuza mali ya Tanganyika kwa sababu haiwahusu!"
Wengi wenu mnafikiri ni bandari pekee imeuzwa na hao WAZANZIBAR mnajidanganya! Kwa mjibu wa MKATABA hiyo reli ya Magufuli na mabarabara ni ya waarabu hadi maeneo yote maalum ya kibiashara yanakuwa yao."
Bandari kavu kwa mfano ile ya Isaka na zingine zote zinakuwa za waarabu wameuziwa na Samia ambaye ni Mzanzibar."
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
Kama kweli huo mkataba una manufaa na faida kwanini hao WAZANZIBAR ( Samia na Mbarawa ) wameziacha bandari zao?!"
HATUPO TAYARI RASILIMALI ZETU WATANGANYIKA ZIUZWE HOVYO NA WAZANZIBAR - HATUPO TAYARI NASEMA!"
Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"
Lissu.
Bila facts! Unatuaminisha kuwa haijauzwa, facts zipi unazitaka.Hapo kaongea kwa hisia bila facts
Mmh! Watanzania unawafahamu vizuri mkuu? Hii ishu inaongelewa kwenye mitandao tu lkn mitaani watu wako bize na Yanga na Simba.ishu ya bandari ccm waangalie sana inaweza kuwang'oa
Saa nyingine hajui! Anaponzwa tu imani yake kwa Waarab. Anajua ni Waswalihina kumbe nao wana michoro michoro yaoHivi inakuaje kiongozi wenu auze nchi yake?
Umelipwa shi ngapi?Ni uwekezaji mkubwa wenye kulenga uboreshaji wa utoaji huduma bandarini.
Ingizo la teknolojia linakwenda kuongeza tija zaidi ya mara mbili ya hii ya sasa.
Rasilimali muda katika dunia ya sasa ni nyeti sana, na kwa kuimarika huduma kwa maana ya wingi wa meli zitakafanyiwa kazi na bandari inamaanisha utabakia muda mwingi wa kushughulika na masuala mengine. Msemo wa time is money unakwenda kutimizwa kwa vitendo.
Pesa nyingi inayopatikana ikiwa ni faida ya mradi inakwenda kugusa sekta nyingi ambazo kwa muda huu zinashindwa kukwamuliwa na zinaonekana zimelala.
Umelipwa shi ngapi?Bado hujanielewa boss, jaribu kusoma tena nilichokiandika
Kama haya ni kweli kayasema Lissu basi kuna shida anayo Lissu. Sikutegemea mtu mwenye nafasi kubwa kwenye chama cha Siasa kutamka maneno kama yanavyosomeka hapa. Kumuita Mh.Rais kua ni Mzanzibar kwanza ni kututukana watanzania...yaani anataka kutuaminisha kua nchi yetu inaongozwa na mtu wa Taifa jingine.Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...
Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.
Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa milele. Namaanisha hadi bahari itapokauka!"
Mimi ninao huo MKATABA lakini sijaona wapi pameandikwa tutapata hizo hela zinazosemwa na wapambe waliohongwa."
Ni wazi wao kuanzia Samia, Mbarawa na Katibu mkuu wa wizara husika ni WAZANZIBAR na kwa makusudi wameuza mali ya Tanganyika kwa sababu haiwahusu!"
Wengi wenu mnafikiri ni bandari pekee imeuzwa na hao WAZANZIBAR mnajidanganya! Kwa mjibu wa MKATABA hiyo reli ya Magufuli na mabarabara ni ya waarabu hadi maeneo yote maalum ya kibiashara yanakuwa yao."
Bandari kavu kwa mfano ile ya Isaka na zingine zote zinakuwa za waarabu wameuziwa na Samia ambaye ni Mzanzibar."
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
Kama kweli huo mkataba una manufaa na faida kwanini hao WAZANZIBAR ( Samia na Mbarawa ) wameziacha bandari zao?!"
HATUPO TAYARI RASILIMALI ZETU WATANGANYIKA ZIUZWE HOVYO NA WAZANZIBAR - HATUPO TAYARI NASEMA!"
Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"
Lissu.
Facts zipo kwenye huo mkataba unaosema hivyo.Hapo kaongea kwa hisia bila facts
Njoo na mawazo mazito tuisaidie Mama Tanzania.Mawazo hafifu sana haya.
Bure kabisa, ni heshima yangu kwa wimbo wa taifa.Umelipwa shi ngapi?
Wapumbavu ni nyinyi mnaoeleweshwa halafu hamuelewi chochote. Kujiunga humu miaka mingi iliyopita sio wingi wa akili au busara.Huu ni upumbavu unaokusumbua mpuuzi wewe.
Kwa vilewewe ni mgeni sana humu, hata hujui historia zetu kuhusu maswala yanayoihusu nchi hiyo, halafu unakuja hapa kuropoka tu kama kichwani huna kitu.
Unarudia makosa yale yale ya wengi wetu kudhani kwamba mkataba uliosainiwa bungeni ndio huo unaokwenda kutumika katika michakato ya kibiashara.IGA ikisema Bandari zote Tanganyika ziwe chini ya himaya ya Kampuni ya nchi husika, na kama matatizo yakitokea mbele ya safari kwenye utekelezaji huna njia ya kuondokana...
Homo erectus, that can only erectMmh! Watanzania unawafahamu vizuri mkuu? Hii ishu inaongelewa kwenye mitandao tu lkn mitaani watu wako bize na Yanga na Simba....