1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Kwa hiyo akiachwa ndio hao wengine watatibiwa.hii sio sawa, anatibiwa kama nani..
gharama za wagonjwa wengine hapo muhimbili wasio na mbele wala nyuma nazo Serikali itazibeba? tuwe serious kidogo.
Acheni kujenga Taifa la watu wenye roho mbaya. Mnaeneza chuki lakini hazitawaacha salama.
Serikali imefanya jambo jema sana.
Kumbe Kuna watu wenye roho mbaya wengi sana kwenye nchi hii. Nilikua siamini ili ni wazi kuwa watanzania Kwa Sasa ni Taifa lenye watu wenye roho mbaya sana.