Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
HatujuiHivi Profesa Jay anaumwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatujuiHivi Profesa Jay anaumwa nini?
Hapana.ni bora hio michango achukue mkewe.Pesa haikosi matumizi.Na Watanzania wengine walio wagonjwa watagharamiwa na nani?
Kwanza kwa nini agharamiwe na serikali? Ni mtumishi wa serikali kwani?
Ni bora tu wangeacha watu wamchangie na wao kama wanataka kumsaidia, basi wangechanga tu kama watu binafsi.
Hakuna kitu nachukia kama hiki.umasikini na
Well saidMhh !!!!
Haya ni Majibu mepesi kwa Maswali Magumu..., Hakikisheni gharama za Matibabu ni rafiki kwa kila kiumbe na sio kutoa Charity everytime you see Fit..... (which most of the time you don't)
Hayupo pale kuchague nani alipe na nani asilipe bali kuhakikisha Healthcare is Reachable and Affordable for All....
Well said!!Ukiishi kwenye jamii pana na akili yako ukaiweka huru utajua kwanini mdau ameandika hivyo,kuna siku niliingia pharmacy moja Kariakoo nikamkuta yupo jamaa ameingia mule kuomba dawa (sikumbuki zilikuwa za maradhi gani maana siyo Dr) ila yeye akizitaka kwa msaada na wakati huo ilionekana kinachomsumbua ndiyo kilikuwa kimekaza kuuma na hela mfukoni hana na mule ndani wote hawajui wafanyeje!
Hizo dawa zilikuwa zina-cost Tsh 7,000/= tu so fikiria ni wangapi wanateseka na maradhi ktk umaskini wao na wakuwaokoa hawana?issue siyo Jay kutibiwa na serikali the issue ni serikali kwa ujumla kuweka mazingira bora ili kila mtu ktk hangaiko lake apate pakujishikiza,kama akawa mwanasiasa sijui msanii wote ni haki yao kupata tiba kwa unafuu wowote unaowezekana.
god bless u wiziri wa AfyaWaziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo kumjulia hali Msanii huyo.
Pia soma:
Tumuombee sana Profesa J
Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu
Usiwe mbishi. Mstaafu wa serikal anapta bima na ya mwenzi wake baada ya kustaafu had kufa kwaoMuongo huyo, bima huwa ibakatwa kwenye mshahara. Ukistaafu wanakata kwenye nini? Ukistaafu na bima nayo inastaafu.
Bima inasaidia kwenye dialysisNa hapo ndipo shida ilipo kama nachangia Kila mwezi lakin nikipata ugonjwa mzito kama huu sisaidiwi hiyo bima ni ya nini?
Ya kutibu malaria? Nini tofauti Kati ya mtu mwenye bima na asiyenayo kama mambo yako hivi? Ni nini kinaangaliwa ili magonjwa mengine yaondolew kwenye bima? Nini mchango wa serikali kwenye kufanya huu mfuko ushindw kuhudumiwa wanachama?
we umechangia tsh ngapi ndugu? unahos watanzania wote hali zetu zinafanana? wengine hata uwezo wa kumchangia 100 tu hatuna kwaiyo mtu afe? we unahis watanzania wangapi wangemchangia? na wewe umemchangia tsh ngapi mpaka unasema waache tu watu wachange? kama tuna moyo huo bas tuchangie wengine waliolazwa uko ma hospitalNa Watanzania wengine walio wagonjwa watagharamiwa na nani?
Kwanza kwa nini agharamiwe na serikali? Ni mtumishi wa serikali kwani?
Ni bora tu wangeacha watu wamchangie na wao kama wanataka kumsaidia, basi wangechanga tu kama watu binafsi.
Asante sana Lesiriamu, kwa uvunjaji ukimya huu,Kama hujui issue bora kukaa kimya.
Pesa zimechangwa na zinaingia kwenye simu n aakaunti ya Jey.
Ccm kuona hayo wameblock accounts za Jey na kukimbila Muhimbili kutoa tamko.. Huku mashahidi wana singizia kuugua baada ya kushindwa kujieleza.
Ccm wana wasiwasi na nguvu ya chadema. Wamechukua uamuzi wa kumgharamia matibabu Prof J ili michango ya watanzania na wanavhadema isiendelee kuchangwa.Ni bora tu wangeacha watu wamchangie na wao kama wanataka kumsaidia, basi wangechanga tu kama watu binafsi.
Ukijumlisha mishahara posho gratuity ni Zaid ya billion na nusu Mzee..Shangaa mkuu!
Pr J alikuwa msanii anaeingiza hela kutokana na umaarufu wake!
Akaenda bungeni ambako kwa miaka 5 amevuna zaidi ya nusu bilioni,
Leo hii anachangiwa matibabu na selikali ambapo wala si mtumishi wa selikali,
Sijui mtz wa kule sitimbi atatibiwaje?
Na Watanzania wengine walio wagonjwa watagharamiwa na nani?
Kwanza kwa nini agharamiwe na serikali? Ni mtumishi wa serikali kwani?
Ni bora tu wangeacha watu wamchangie na wao kama wanataka kumsaidia, basi wangechanga tu kama watu binafsi.
'I second you'...mpo sahihi kabisa....lazima bima ya afya kwa wote iwe kipaumbele.Mhh !!!!
Haya ni Majibu mepesi kwa Maswali Magumu..., Hakikisheni gharama za Matibabu ni rafiki kwa kila kiumbe na sio kutoa Charity everytime you see Fit..... (which most of the time you don't)
Hayupo pale kuchague nani alipe na nani asilipe bali kuhakikisha Healthcare is Reachable and Affordable for All....
Ni unafiki tu hakuna chochote huyo wasanii na wanasiasa wenzako wako tayari kumtibu tunataka serikali itowe matibabu kwa watu wote bila ya kuangalia wasfu wa mtu tunataka universal health care kuanzia maradhi madogo mpaka makubwa.Safi sana kwa Serikali kutambua mchango wa Prof Jay kwenye music wa Tanzania
Acha kushabikia dhulma hatukatai serikali kumtibu pro.j lakini wajibu wa serikali ni kuwatibu raia wake wote bila ubaguzi wa aina yoyote vile.Habari kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zinasema Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali itagharimia matibabu ya mwanamziki maarufu wa kizazi kipya ambaye pia alikuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule, a.k.a Prof. J aliyelazwa katika Hospitali hiyo. Hayo yameandikwa katika mtandao wa jamii wa Twitter.
Pongezi kwa serikali kwa kuwaenzi viongozi wetu.