Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali
Hiyo sio nongwa. Tatizo sio yeye kusaidiwa. Asaidiwe privately.

Ni discrimination kutumia pesa ya umma kumsaidia mtu mmoja ilhali watu wengine walio katika situation kama yake wakiachwa kujipigania wenyewe!
Hapo siasa pia inahusika. Ingawa kwa kweli ni jambo jema. Labda target akipona anaweza kwenda upande ule
 
Na Watanzania wengine walio wagonjwa watagharamiwa na nani?

Kwanza kwa nini agharamiwe na serikali? Ni mtumishi wa serikali kwani?

Ni bora tu wangeacha watu wamchangie na wao kama wanataka kumsaidia, basi wangechanga tu kama watu binafsi.
We jamaa nimeshawahi kuona sehemu ukisema watanzania hutuendelei kwa sababu tuna ROHO MBAYA,CHUKI NA HUSDA.
 
Wanasiasa na fursa za kutafuta popularity.

Hapo hapo MNH kutakuwa na wagonjwa makapuku kwelikweli wanashindwa kufanya dialysis kwa kukosa tu fedha but no one will care,lakini kwa mtu maarufu huyu ambaye kashaanza kuomba michango kwa umma serikali inasema italipia full,so michango i-stop.
 
Na Watanzania wengine walio wagonjwa watagharamiwa na nani?

Kwanza kwa nini agharamiwe na serikali? Ni mtumishi wa serikali kwani?

Ni bora tu wangeacha watu wamchangie na wao kama wanataka kumsaidia, basi wangechanga tu kama watu binafsi.
Imekuuma sana bro? Why all this hate?
 
Hiyo sio nongwa. Tatizo sio yeye kusaidiwa. Asaidiwe privately.

Ni discrimination kutumia pesa ya umma kumsaidia mtu mmoja ilhali watu wengine walio katika situation kama yake wakiachwa kujipigania wenyewe!
And bad enough,mtu huyu anayesaidiwa ana platform ya kurise fund kwa ajili ya hayo matibabu..

Serikali ifikirie kutoa matibabu ya vitu kama dialysis bure kwa makapuku wengine..Hii ita-make sense.
 
Za kuchangia mawakili wamtoe mtu, mahabusu zinapatikana,
Lakini za kuchanga matibabu apate mtu, watu wa chama mashati washikana,
Chama cha mgonjwa cha "watu", ukitaja mgonjwa mwapishana,
Heko Mheshimiwa Ummy Mwalimu, utu wa mtu kuupambania.
Kama hujui issue bora kukaa kimya.
Pesa zimechangwa na zinaingia kwenye simu n aakaunti ya Jey.
Ccm kuona hayo wameblock accounts za Jey na kukimbila Muhimbili kutoa tamko.. Huku mashahidi wana singizia kuugua baada ya kushindwa kujieleza.
 
ex mbunge...hakulipwa mafao mamia ya mamilioni hata ajiwekee bima kubwa?......na anachangiwa mia tano mia tano na wananchi.

Waswahili tuna shida gani vichwani?
 
Serikali ifanye utaratibu wa kupunguza gharama za matibabu ili kila mtanzania apate matibabu sio huu unafiki wa kuchagua mtu mmoja mmoja,huo ni ubaguzi.
 
Back
Top Bottom