dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
aiseeamtelekeze mgonjwa asepe maana hana hata mia ya kuanzia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseeamtelekeze mgonjwa asepe maana hana hata mia ya kuanzia.
Upumbavu tu nahangaika na mgonjwa wa cancer hii taarifa imenikosesha raha kabisa.
Point kuuWaziri aanze sasa kupitia mahospitali kuangalia wote wasio na uwezo ili serikali igharamie matibabu....
Soma vizuri ukiona nilipo laumu unitag.Unapaswa utumie ubongo vizuri.
Prof Jay yupo Tz Muhimbili na kufika hapo kafuata hatua zote.
Lissu alienda Dodoma hospital na alitibiwa vizuri tu, serikali ikashauri ahamishiwe Muhimbili kwa matibabu zaidi, Kama kawaida hoyahoya wa chadema wakakataa wakamkimbiza Nairobi, na wakampeleka tena ubelgiji.
Sasa hapo utailaumu serikali?
Mfano hata huyi Prof jay angeenda kutibiwa Marekani unafikiri serikali ingekuwa na mpango nae?
hii sio sawa, anatibiwa kama nani..
gharama za wagonjwa wengine hapo muhimbili wasio na mbele wala nyuma nazo Serikali itazibeba? tuwe serious kidogo.
Chadema wala familia ya J haikushindwa kumtibu mtu wao , Kujichomeka kwa serikali ili ipate huruma ya wananchi kusikupumbaze .Pamoja na kuwa mbunge wa upinzani hakuwa mtu wa mihemko kama kina rema kina msingwa, alifanya anachoona kina maslahi kwa taifa ndio maaana Leo hii Kila mtu unaona anasupport Kila kitu kinachosemwa kuhusu kupigania afya yake.
Siasa si uadui
Kamanda mnyenyekevu sana akiwa bungeni aliongea kwa busara na hekima muda wote, upone haraka comradeWaziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo kumjulia hali Msanii huyo.
Pia soma:
Tumuombee sana Profesa J
Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu
Kila mmoja ashinde mechi zake, waambie ba wao wapambane wawe maarufu.Jambo lililo jema zaidi ni kutowasahau na Watanzania wengine wasio na majina/ maarufu.
Au wao sawa tu wakiachwa wajigharamie matibabu yao wenyewe?
ujumbe mzito sana huuWatanzania walivyo wapumbavu watashangilia na kuruka ruka huku wakibinua makalio kana kwamba waziri ametatua changamoto ya afya kitaifa.
Jiulize wewe, mtoto au mzazi au ndugu yako akiumwa atapata hiyo favour?au ni wale waliokula keki ya taifa wanaipata hiyo neema peke yao?
Tunahitaji kupaza sauti juu ya bima ya afya kwa kila raia wa Nchi hii. Ni heri tutumie fedha kuhudumia afya ya za wananchi wetu huku wakiwa wanapita kwenye barabara zenye foleni kuliko kuwapitisha kwenye flyover wakiwa ndani ya jeneza.