Wale wapotoshaji wa miaka 100 mara Mkataba wa Milele waje tena na jipya.
 
Unahukumu kitu ambacho akijatokea kwa chuki zako binasfi kwani wewe ulikuwa unataka nini haswa?
Hili deal liliwekwa Kwa kificha hapo mwanzo.Kelele zisingepigwa ilikuwa Tanganyika inakwenda kuliwa.Kelele zimesaidia haya mambo kuwekwa wazi nakurekebishwa faster vipengele vyenye utata.Bigup TEC,CDM,Wanaharakati(Dr.Slaa,Mwabulusi,Mdude,Sifa na mchungaji aliyefungwa)πŸ€”
 
Ila kwa maoni yangu kumoa forum Huyo mjomba ni matumizi mabaya ya muda. Analeta uhamasishaji sehemu ambayo haiihitajiki. Watu washasaini.
Waafrika hatujali muda, ndio maana hadi leo ni zaidi ya miaka 60 ya uhuru lakini hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe.
 
Huo mkataba wa miaka 30 kutoka milele naomba tuuone kabisa! Sasa kama ni kweli inabidi wana CCM wawaombe radhi watanzania waliokuwa wanapinga bandari kuuzwa milele …..
Ni wazi Samia kabadili gia angani
 
Pesa yq DP ndiyo italipa walimu mara kumi ya hiyo.
Pesa ya Gesi ya Mtwara imetumiwa wapi?
Pesa ya Mgodi GGM imetumiwa wapi?
Fedha ya Tanzanite umeiona wapi?
Deni la Trilioni zaidi ya 60 kwa miaka 2.5 imetoka wapi kama tuna fedha?
Fedha zaTANAPA zimekwenda au zinatumika wapi?
Am very sorry to say that, some youth are using their "tool to sit" in other words 'bataks" to think and reason.
 
Hii tangu mwanzo ndivyo ilivyo Mwarabu anatumika tu wakoloni wamemtumia mwarabu kupitia dini yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…