Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Nchi ya wajinga hii mkuuIla kwa maoni yangu kumoa forum Huyo mjomba ni matumizi mabaya ya muda. Analeta uhamasishaji sehemu ambayo haiihitajiki. Watu washasaini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ya wajinga hii mkuuIla kwa maoni yangu kumoa forum Huyo mjomba ni matumizi mabaya ya muda. Analeta uhamasishaji sehemu ambayo haiihitajiki. Watu washasaini.
Huko Gaza kichapo kinaendeleaMjomba Mpoto anawapa vidume vya mbegu TEC idonge vyao, uso kwa uso.
kipele kimepata mkunaji.Hii siku nilikuwa nnaingoja kwa hamu na shauku kubwa sana.
Umepitwa kidogo. Mambo muhimu. Mjomba anaishusha hadhi hii shughuli kubwaSasa hivi sisikii lolote.
Namsikiliza Mjomba Mpoto.
Nnaona Raha.
Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023.
Akizungumza kwenye hafla hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa TPA Bw. Plasduce Mkeli Mbossa amesema uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA utaongeza ufanisi kwa huduma za meli na shehena, kupunguza muda kwa bandari katika kuchakata nyaraka, kuongezeka kwa mapato ya serikali, kupungua kwa udanganyifu, kuimarisha nafasi ya ushindani kwa bandari, kuongeza ajira na kupunguza gharama za usafirishaji wa mizigo kuja bandari ya Dar es salaam.
Aidha, muda wa usafirishaji wa mizigo kutoka mashariki ya mbali utapungua kutoka siku 30 hadi 15.
Haitegemewi kufungwa kwa biashara zozote za wazawa zinazofanyika bandarini.
Aidha, Mkeli Mbossa amefafanua kuwa wastani wa meli kukaa nangani ikisubiri huduma ni siku 5 hadi 10 huku bandari ya Mombasa ni siku 1.25 na Bandari ya Durban ikiwa ni wastani wa siku 1.6. Hii inatokana na kukosekana kwa uwekezaji mkubwa wa muda mrefu ambao ungepelekea kuongezeka kwa namba za gati. Pia, gharama za kusafirisha makasha ni kubwa, jambo linalofanya kupanda kwa bei ya bidhaa kwa mtumiaji wa mwisho.
Mikataba inayosainiwa leo ni baina ya Nchi mwenyeji, mkataba wa ukodishaji na uendeshaji wa gati namba 4-7 lakini pia kutakuwa na sehemu ambayo gati 0-3 zitaendeshwa kwa ushirikiano wa pamoja kati ya TPA na kampuni ya DP World kwa shughuli za kibiashara na shughuli za kiserikali.
Mikataba hii haihusishi eneo lote la bandari wala bandari zingine za Tanzania. Upande wa gati namba 8-11, mchakato wa kumpata mwendeshaji mwingine umeshaanza kufanyika na akipatikana mwekezaji mwingine mwenye sifa atakabidhiwa na sio DP World.
Katika mikataba hii, Serikali itakuwa inapata ada na tozo kutoka DPW ambazo zitaongeza mapato na kupunguza gharama za uendeshaji.
Mkataba huu utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wa DPW utakuwa unapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100.
Anakatishwa na Bi-Zuu {Zuhura Yunus} na hasikii anaendelea.Umepitwa kidogo. Mambo muhimu. Mjomba anaishusha hadhi hii shughuli kubwa
Hili deal liliwekwa Kwa kificha hapo mwanzo.Kelele zisingepigwa ilikuwa Tanganyika inakwenda kuliwa.Kelele zimesaidia haya mambo kuwekwa wazi nakurekebishwa faster vipengele vyenye utata.Bigup TEC,CDM,Wanaharakati(Dr.Slaa,Mwabulusi,Mdude,Sifa na mchungaji aliyefungwa)🤔Unahukumu kitu ambacho akijatokea kwa chuki zako binasfi kwani wewe ulikuwa unataka nini haswa?
Pesa yq DP ndiyo italipa walimu mara kumi ya hiyo.Amelipwa mamilioni kwaajili hiyo kama Kitenge alivyolipwa.
Hela aliyolipwa hapo leo mwalimu wa Shule ni mshara wa miaka 10.
Mambo yetu tunayafanya tutakavyo sisi, ulitaka iitwe kwaya kuimba mapambio?Umepitwa kidogo. Mambo muhimu. Mjomba anaishusha hadhi hii shughuli kubwa
Ila kwa maoni yangu kumoa forum Huyo mjomba ni matumizi mabaya ya muda. Analeta uhamasishaji sehemu ambayo haiihitajiki. Watu washasaini.
Nadhani unatamani conflict. Ila wenzio walisikiliza maoni, wakarekebisha sasa kazi inaanza.Wale wapotoshaji wa miaka 100 mara Mkataba wa Milele waje tena na jipya.
Na ni vyema tukauona kama tulivyo uona ule wa mwanzo wa mileleMkataba ni vyema uainishe muda muafaka wake , ili watoto wetu waje kuchukua mali yao panapo majaaliwa
Pesa ya Gesi ya Mtwara imetumiwa wapi?Pesa yq DP ndiyo italipa walimu mara kumi ya hiyo.
Hii tangu mwanzo ndivyo ilivyo Mwarabu anatumika tu wakoloni wamemtumia mwarabu kupitia dini yake.Naangali hapa hafla la utiaji saini mkataba wa Bandari,
Kuna mzungu anamwelekeza mwarabu nini Cha kufanya,
Na aliposaini mahala pake, anakataa kwenda kupata picha ya pamoja.
Sasa naelewa, nyuma ya Mwarabu wa DP World yupo mkoloni wetu.
HAKIKA, kumbe Mwarabu ni kibaraka wa mzungu.
Bado Tutaona mengi.