Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Roho zinawauma kwakua mwekezaji ni mwarabu bado hamjasema.😂Hii tangu mwanzo ndivyo ilivyo Mwarabu anatumika tu wakoloni wamemtumia mwarabu kupitia dini yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho zinawauma kwakua mwekezaji ni mwarabu bado hamjasema.😂Hii tangu mwanzo ndivyo ilivyo Mwarabu anatumika tu wakoloni wamemtumia mwarabu kupitia dini yake.
Tunashukuru kwa TEC kuunga mkono serikali .Mama samia anaupiga mwingi 2025- 2030 twende na Samia.Haya mambo kwako mama ni mazito ni sawa na kumpiga chuma jiwe. TEC hawawezi kuudhuria kama vile vifungu walivyovikataa havijafanyiwa marekebisho, hiyo ni sawa na kujipaka kinyesi. Hapo vipengere vimesharekebishwa na wameviona jinsi vilivyorekebishwa na ndio maana wamehudhuria. TEC noma.
Tusubiri maendeleo..
Kusema kweli jamaa wamechangia pakubwa sana kwenye manoresho hayaNaona maoni mengi ya kina Mwabukusi & co yamezingatiwa kwa kiasi fulani...
Kwenye MakubalianoZile habari ya bandari kuuzwa miaka 100 zilitoka wapi?.
Huo mkataba wa miaka 100 na milele haujawahi kusainiwa usipotoshwe na porojo za wapinzaniMimi namsikiliza mkurugenzi wa TPA na tunaamini anachokisema ni kweli kuwa wamesikiliza maoni ya watu ..sasa ni miaka 30 sio mia au milele…lakini bado tutakuwa na shauku ya kuona hayo marekebisho!
Kwenye hili TEC,Chadema,Slaa,Mdude na Mwambukusi wanastahili kupongezwa sana
Ok Kwa hiyo wamewahi kabla 9 Oct. Siku ya maandamano???Mikataba ipo Mitatu sasa sijui kina Mdude walivyokuwa wanawashikia akili wajinga walikuwa wanajua haya?
Sauti ya Wachache isikilizwe, imesikilizwa, hilo tu.Wewe ulitakeje kuhusu Bandari?
Hongereni sana Sauti ya Watanzania, Special thanks to Mwabukusi, Mdude, Dr Peter Slaa and much thanks to TEC na watanzania woote.Mikataba inayosainiwa leo ni baina ya Nchi mwenyeji, mkataba wa ukodishaji na uendeshaji wa gati namba 4-7 lakini pia kutakuwa na sehemu ambayo gati 0-3 zitaendeshwa kwa ushirikiano wa pamoja kati ya TPA na kampuni ya DP World kwa shughuli za kibiashara na shughuli za kiserikali.
Mikataba hii haihusishi eneo lote la bandari wala bandari zingine za Tanzania. Upande wa gati namba 8-11, mchakato wa kumpata mwendeshaji mwingine umeshaanza kufanyika na akipatikana mwekezaji mwingine mwenye sifa atakabidhiwa na sio DP World.
Kumekucha....
Wewe si ulitetea ule ule? Pole sana tuliokataa tumesikilizwa hii ndio Tanzania.. Sauti ya Wengi ni sauti ya Mungu.Lazima bandari ifanyie marekebisho tena makubwa sana kilikua kichaka cha wezi. Asante mama samia