Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Ahahah,eti kanisa sauti ya wananchi,TeCc vilazawapo, mashavu yamewashuka kama soksi zilojaa tope.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahah,eti kanisa sauti ya wananchi,TeCc vilazawapo, mashavu yamewashuka kama soksi zilojaa tope.
DP World ndiyo wapo hivyo.Hii Haina tofauti na kelele za chanjo ya uviko kuwafanya mazombie 😁😁
Hakuna kesi muhimu bandari iboreshwe mkuu tupo pamoja mama samia anaupiga mwingi 2025 - 2030 twende na mama.Wewe si ulitetea ule ule? Pole sana tuliokataa tumesikilizwa hii ndio Tanzania.. Sauti ya Wengi ni sauti ya Mungu.
Faiza, Siku ukijua DP ni mmarekani mwisrael utaumia sana, hakuna mwarabu ana akili ya kuendesha kampuni kubwa kama Dp,TEC wamesaini mkataba?
Mwarabu nae ni kibaraka tuRoho zinawauma kwakua mwekezaji ni mwarabu bado hamjasema.😂
Ahh bana, imeuzwa.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema kuwa mkataba wa DP World wa uendelezaji na uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam ni wa miaka 30 na utendaji kazi wa DP World utakuwa ukipimwa kila baada ya miaka mitano.✍️
Mzungu anaajiriwa na mwarabu sawa na Guardiola alivyoajiriwa na Man City halafu akapeleka kombe kule Saudi Arabia.Naangali hapa hafla la utiaji saini mkataba wa Bandari,
Kuna mzungu anamwelekeza mwarabu nini Cha kufanya,
Na aliposaini mahala pake, anakataa kwenda kupata picha ya pamoja.
Sasa naelewa, nyuma ya Mwarabu wa DP World yupo mkoloni wetu.
HAKIKA, kumbe Mwarabu ni kibaraka wa mzungu.
Bado Tutaona mengi.
Na bado.Hatimaye mwarabu kuchukua mwali kwa nguvu ya mama.
BAKWATA ndio genious!Tec vilaza tu
Tunawashukuru TEC mwambukuzi slaa na watanzania wote waliotoa maoni yao mama samia ni msikivu na serikali ya CCM ni sikivu kwa wananchi wake. Tuendelee kumuunga mkono Mh.rais kwa maendeleo ya Mama Tanzania [emoji1241]Vilevile, Ishukuru serikali kwa kufanya marekebisho kwa vifungu kandamizi vya mkataba ambavyo TEC walivishinikiza virekebishwe.
Jinyonge.Nchi ya wajinga hii mkuu
Unajitekenya sasa, kwani ukisema kutokana na shinikizo la TEC utakuja kujinyea ?Mama kasema kilichosainiwa Leo kimetokana na Yale yaliyoridhiwa na Bunge, baraza la mawaziri na ushauri wa Mwanasheria Mkuu.
Hiyo hafla ya utiaji saini huo mkataba ilifanyika lini na wapi?Kwa hiyo wewe unabishana na bunge na wabunge? Sio miaka mia ulikuwa ni mkataba wa milele! Hapa hatuongelei tetesi ni jambo lililojadiliwa bungeni kabisa sio swala la wapinzani!
Tumebiwa maoni ya wananchi yamesikilizwa na kuzingatiwa ,wewe unafikiri maoni gani?
Tec hawakupinga mkataba wewe Bibi ,walitaja vipengele vilivyohitaji maboresho ukiwepo muda wa mkataba na Uhuru wa serikali kujitoa ,wapo, mashavu yamewashuka kama soksi zilojaa tope.
DP World Hoyeee.Pesa ya Gesi ya Mtwara imetumiwa wapi?
Pesa ya Mgodi GGM imetumiwa wapi?
Fedha ya Tanzanite umeiona wapi?
Deni la Trilioni zaidi ya 60 kwa miaka 2.5 imetoka wapi kama tuna fedha?
Fedha zaTANAPA zimekwenda au zinatumika wapi?
Am very sorry to say that, some youth are using their "tool to sit" in other words 'bataks" to think and reason.
Waraka unakuwa toilet paper sasa.Tec hawakupinga mkataba wewe Bibi ,walitaja vipengele vilivyohitaji maboresho ukiwepo muda wa mkataba na Uhuru wa serikali kujitoa ,
Na kama serikali imezingatia ulitaka waendelea kususa
Ila ulivyo punguani huwezi kuona Hilo unataka ligi za kidini kwenye masuala ya kitaifa jinga kabiasa ,badilika
Mimi sijamsingizia Mama Yetu Mama Dr. Samia. Nimerejea alichoeleza. Tuendelee na mjadala.Unajitekenya sasa, ?
Wewe wajumuishe tu akina Dkt Slaa, Mwabukusi na Mdude
maendeleo tu kwa kwenda mbele.Muda utaongea wenyewe.