Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100
Safi sana.

Asante Yesu nchi yetu sasa imejifunza kuweka siasa za uzandiki pembeni na kuanza kufanya mambo ya msingi kwa maendeleo ya kweli

Kazi iendelee
Aisee wameachana na IGA ya wahuni wa dubai......this is IGA ilitoboreshwa......nimefurahi.
 
Huo mkataba wa miaka 100 na milele haujawahi kusainiwa usipotoshwe na porojo za wapinzani
Kwa hiyo wewe unabishana na bunge na wabunge? Sio miaka mia ulikuwa ni mkataba wa milele! Hapa hatuongelei tetesi ni jambo lililojadiliwa bungeni kabisa sio swala la wapinzani!

Tumebiwa maoni ya wananchi yamesikilizwa na kuzingatiwa ,wewe unafikiri maoni gani?
 

Attachments

  • IMG_1061.jpeg
    IMG_1061.jpeg
    89 KB · Views: 2
Wenye akili hukaa kimya na kutafakari walichosikia na kuachia muda uongee wenyewe lakini wendawazimu hushangilia kwa vgelegele baada ya kulisikia neno,Wala hawatafakari kile walichosikia.
 
Pia, mwekezaji atalipa kodi zote za Tanzania kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, sheria za Tanzania ndio zitatumika katika kutekeleza mkataba huu na serikali itakuwa na haki ya kujiondoa kwenye mkataba ikiona inafaa.
Tundu Lissu aliwanyosha sana kwenye kipengele hiki.

Nimefurahi sana Serikali kwa kuachana na ukiritimba na kukubali mambo mtambuka yabTaifa bila kujali uvyama.
 
Hivi mtu anaye sema TEC hawajasikilizwa anaakili timamu kweli?
Kwani TEC walipinga au TEC walitaka mkataba ufanyiwe maboresho na ndio matokeo yanayoonekana sasa
Siyo kesi jamani basi TEC wamesikilizwa na watanzania wote wamesikilizwa mpaka mwambukuzi amesikilizwa. sasa kazi ni moja tuendelee kuchapa kazi na kumuunga mkono rais wetu Mama jembe samia suluhu hassan.
 
Back
Top Bottom