Tunashukuru kwa TEC kuunga mkono serikali .Mama samia anaupiga mwingi 2025- 2030 twende na Samia.
 
Matatizo ya umeme itakuwa historia
Tutauza umeme nje
 
Huo mkataba wa miaka 100 na milele haujawahi kusainiwa usipotoshwe na porojo za wapinzani
 
Mmh! Hata kwenye gesi ya Mtwara tuliambiwa sasa Mtwara itakuwa kama NewYork na umeme utakuwa bure kama mwanga wa jua.

Wakati kiwanda cha Dangote kinajengwa, tuliambiwa bei ya sementi itapungua na kuwa sh elfu 5.

Lakini Sasa yako wapi??
 
Nimefuatilia hafla ya utiaji saini kati ya Serikali yetu na DP World, Nimegundua kuwa Mwarabu wa DP World ni kibaraka wa MABEBERU wazungu.

Kuna beberu anamwelekeza mwarabu Mahali pa kusaini Kisha naye anasaini.

Ukimtizama, ni mtu mwenye wasiwasi na haraka sana.

Na mbaya kuliko yote, hataki na amekwepa picha ya pamoja.

Kumbe vita ya mataifa makubwa ndo inatuhenyesha Nchi za kiafrika.

Naanza kuona connection kati ya Royal tour na DP world.

Magu: Vita ya kiuchumi ni ngumu sana.

Tutakukumbuka Magufuli.

R. I. P.
 
Hivi mtu anaye sema TEC hawajasikilizwa anaakili timamu kweli?
Kwani TEC walipinga au TEC walitaka mkataba ufanyiwe maboresho na ndio matokeo yanayoonekana sasa
 
Hongereni sana Sauti ya Watanzania, Special thanks to Mwabukusi, Mdude, Dr Peter Slaa and much thanks to TEC na watanzania woote.

Uwekezaji tunauhitaji kuboresha huduma na tija ya bandari.

Kama majibu haya yangetoka tangu mwanzo kulikuwa hakuna ugomvi.
Kila la Kheri Rais Dr Samia na Watanzania tunaunga mkono.

Ila isije kuwa ni changa la macho mwanaharamu apite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…