Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
TEC ilishatekeleza wajibu wake wa kushauri serikali , na serikali imezingatia baadhi ya Mambo ,Waraka unakuwa toilet paper sasa.
Sawa nafurahi kuona mapendekezo ya watanzania yamefanyiwa kazimaendeleo tu kwa kwenda mbele.
Reforms tayari bandarini sasa Rebuilding.
Toilet paper kwako, sisi huu waraka ni muhimu sana tutaenda kuuhifadhi kwenye makabati ya Misikiti yote ili uwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ili viwajengee ujasiri wa kuhojo na kukataa kwa vitu visivyo na tija.Waraka unakuwa toilet paper sasa.
Madame pita hiviAllahu Akbar.
Allahu Akbar.
Aiseee sawakwani hujawaona?
Maana wale hata kama unawapiga picha unawaambia smile, haiji
Kabisa akili kubwa imetumikaHii U-turn imepigwa kiufundi sana!🤣🤣🤣🤣🤣
Inatokea ghafla bin vuu, nimekua raisi kitu cha kwanza ni kupiga marufuku mavazi ya chama cha siasa kwenye matukio ya kitaifa na upumbavu mwingine wowote kama huu wa mtembea pekuJinyonge.
Kabisa kelele zao zimesaidia sana,tofauti na hapo tulikua tunapigwa mchana kweupee.Nashangaa wanaowabeza sijui wanawaza kwa kutumia nini.
sawa.Kwenye Makubaliano
Maneno kama haya yalishasemwa huko siku za nyuma na matokea tunayaona leo..!! Mifaini kila kukicha..!!Tec wamefura kwa hasira
Usiongee sana,weka akiba ya maneno; uwekezaji Tanzania haukuanza Leo kwa ahadi na ngonjera tamutamu.Musimfanye Samia kama ndiye Masii wa matatizo ya Bandari zetu.Kumbuka Watanzania ni walewale na Chama twawala ni kilekile cha CCM chenye viongozi wezi!Kuna walle mawakili wa kanjanja wapo wapi kuna mmoja kawashikoa akili wajinga eto hajawahi kuona mkataba mbovu kama huu na watu wasiokiwa na fikra wanaungana nao
Tec mimi sina shida nao, shida niliyoiona ni kwa wananchi wa kawaida waliongea maneno ya kuogopesha sanaTEC ilishatekeleza wajibu wake wa kushauri serikali , na serikali imezingatia baadhi ya Mambo ,
Waraka utabaki kuwa kumbukumbu ya VIZAZI vijavyo ukionyesha Nia njema ya TEC kwa taifa lao
Panapo uhai baada ya Nyerere kutawala miaka mingi wa pili Samia.2035.
Wanakosaje WAKATI Maoni yao yamezingatiwa kwa kiasi kikubwa we mwehuMama kaupiga mwingi. Nimehuzunika kina Mdude, Mwabukusi, TEC na CHADEMA kukosa agenda. Ninawashauri kwa sasa waipinge Ihefu kuwaonea Yanga. Ihefu ni kama DP World kimatendo
Yaaani unataka mimi nishikiwe akili na mdude? Akiba ya meneno weka wewe.Usiongee sana,weka akiba ya maneno; uwekezaji Tanzania haukuanza Leo kwa ahadi na ngonjera tamutamu.Musimfanye Samia kama ndiye Masii wa matatizo ya Bandari zetu.Kumbuka Watanzania ni walewale na Chama twawala ni kilekile cha CCM chenye viongozi wezi!
Unawashukur vipi watu ushaambiwa ni vilaza? FaizaFoxy na wenzake washasema hivyo, ila dini za hawa warumi wao hawanaga kisasi wala chuki, wanyenyekevu wa moyo , wanasema , AMEN.Tunawashukuru TEC mwambukuzi slaa na watanzania wote waliotoa maoni yao mama samia ni msikivu na serikali ya CCM ni sikivu kwa wananchi wake. Tuendelee kumuunga mkono Mh.rais kwa maendeleo ya Mama Tanzania [emoji1241]
TEC mashavu yamewashuka kwakununa, nyuzo zao leo utafikiri soksi zilizojaa tope. Zimewashuka shuu.Unawashukur vipi watu ushaambiwa ni vilaza? FaizaFoxy na wenzake washasema hivyo, ila dini za hawa warumi wao hawanaga kisasi wala chuki, wanyenyekevu wa moyo , wanasema , AMEN.