Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100
maendeleo tu kwa kwenda mbele.


Reforms tayari bandarini sasa Rebuilding.
Sawa nafurahi kuona mapendekezo ya watanzania yamefanyiwa kazi
Bandalini palikuwa kichaka cha wachache kupiga dili hivyo ujio wa wagen kidogo mambo yatakuwa angalau.nikuulize bibi angu Fei hivi hawa jamaa watapunguza Kodi ya uningizaji wa magari kutoka nje? Mana kwa sasa ni nusu kwa nusu vipi dp watatushushia ili tununue gari za ndoto zetu?
 
Waraka unakuwa toilet paper sasa.
Toilet paper kwako, sisi huu waraka ni muhimu sana tutaenda kuuhifadhi kwenye makabati ya Misikiti yote ili uwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo ili viwajengee ujasiri wa kuhojo na kukataa kwa vitu visivyo na tija.
 
Kuna walle mawakili wa kanjanja wapo wapi kuna mmoja kawashikoa akili wajinga eto hajawahi kuona mkataba mbovu kama huu na watu wasiokiwa na fikra wanaungana nao
Usiongee sana,weka akiba ya maneno; uwekezaji Tanzania haukuanza Leo kwa ahadi na ngonjera tamutamu.Musimfanye Samia kama ndiye Masii wa matatizo ya Bandari zetu.Kumbuka Watanzania ni walewale na Chama twawala ni kilekile cha CCM chenye viongozi wezi!
 
TEC ilishatekeleza wajibu wake wa kushauri serikali , na serikali imezingatia baadhi ya Mambo ,
Waraka utabaki kuwa kumbukumbu ya VIZAZI vijavyo ukionyesha Nia njema ya TEC kwa taifa lao
Tec mimi sina shida nao, shida niliyoiona ni kwa wananchi wa kawaida waliongea maneno ya kuogopesha sana
 
Huu ndio ulikuwa ukweli yale yalikuwa ni siasa tu lakini ukweli ulikuwa ni huu tunaouona leo. Upotoshaji ulikuwa mkubwa kutafuta umaarufu lakini hii ndio mikataba ndani na maelewano ya kijumla. Hongera Rais.
 
Mama kaupiga mwingi. Nimehuzunika kina Mdude, Mwabukusi, TEC na CHADEMA kukosa agenda. Ninawashauri kwa sasa waipinge Ihefu kuwaonea Yanga. Ihefu ni kama DP World kimatendo
Wanakosaje WAKATI Maoni yao yamezingatiwa kwa kiasi kikubwa we mwehu
Au unataka watanzania wawe mandondoxha ya kusema ndio Kama wewe bila kuhoji
 
Usiongee sana,weka akiba ya maneno; uwekezaji Tanzania haukuanza Leo kwa ahadi na ngonjera tamutamu.Musimfanye Samia kama ndiye Masii wa matatizo ya Bandari zetu.Kumbuka Watanzania ni walewale na Chama twawala ni kilekile cha CCM chenye viongozi wezi!
Yaaani unataka mimi nishikiwe akili na mdude? Akiba ya meneno weka wewe.
 
Tunawashukuru TEC mwambukuzi slaa na watanzania wote waliotoa maoni yao mama samia ni msikivu na serikali ya CCM ni sikivu kwa wananchi wake. Tuendelee kumuunga mkono Mh.rais kwa maendeleo ya Mama Tanzania [emoji1241]
Unawashukur vipi watu ushaambiwa ni vilaza? FaizaFoxy na wenzake washasema hivyo, ila dini za hawa warumi wao hawanaga kisasi wala chuki, wanyenyekevu wa moyo , wanasema , AMEN.
 
Kama underlying basis ni ile ya kutoa exclusive right kwa DP world kuhusu special economic zones basi bado ni batili.
 
Back
Top Bottom