TEC walisema raia hawataki hui mkataba nchi imeuzwa mkataba wa miaka 100.
Mkataba umefanyiwa marekebisho ndugu, umeambiwa wamesikiliza maoni ya watz na ndio maana unaona kunatofauti
 
Huyo Msanii Serikali Inamkumbatia
 
hiyo ni hela ndogo sana. kwasababu tulishakopa pesa mara nne zaidi ya hiyo toka world bank, na hatujuiipo wpai na ilikuja kwa ajili ya bandari hiyohiyo.

Hapo ina maana kwa US$250 milioni hakuna kreni mpya zitakazonunuliwa, DP World watatumia mgongo wa maboresho yaliyofanywa na serikali ya Tanzania kuongeza wanachoita ufanisi
 
Hhahaaa
 
TEC kwisha na Mjomba Mpoto akawapa za uso live

Vp waraka leo umesomwa kwa mara ya ngapi na kanisa takatifu la Mitume
Ccm wanazo mbinu za ushindi [emoji817] walisha tumia 70 na hii ya kuwabwaga watu wa loma ni ya 71[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Serikali inayo miimili 3 lakini 1 umejichimbia chini kuliko yote[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…