Mkataba umefanyiwa marekebisho ndugu, umeambiwa wamesikiliza maoni ya watz na ndio maana unaona kunatofautiTEC walisema raia hawataki hui mkataba nchi imeuzwa mkataba wa miaka 100.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkataba umefanyiwa marekebisho ndugu, umeambiwa wamesikiliza maoni ya watz na ndio maana unaona kunatofautiTEC walisema raia hawataki hui mkataba nchi imeuzwa mkataba wa miaka 100.
Huyo Msanii Serikali InamkumbatiaJapo mrisho mpoto alijaribu kuchafua press ya watu kwa usaanii duni wa uchochezi japo kuna uelekeo wa ukweli.
Eti anasema wale wa mwanzo kabisa kukupinga kwa nguvu zote kuhusu mkataba huu leo hii nao wapo hapa kushuhudia mkataba huu ukisainiwa 🤔
Waraka wa TEC umepuuzwaje kwa mfano hapa? Hebu chungulia hapaZa ndani kabisa zinasema waraka wa TEC umepuuzwa. Haya TEC ifanye kama inajikuna tuone!!
Jamani tupambane kupata katiba mpya. Kwa katiba hii rais ana uwezo hata wa kuwafunga jela TEC wote na asifanywe kitu
Mpoto kawapa makavu gani?..sikutazama tukioTEC kwisha na Mjomba Mpoto akawapa za uso live
Vp waraka leo umesomwa kwa mara ya ngapi na kanisa takatifu la Mitume
hiyo ni hela ndogo sana. kwasababu tulishakopa pesa mara nne zaidi ya hiyo toka world bank, na hatujuiipo wpai na ilikuja kwa ajili ya bandari hiyohiyo.
Wauweke wazi huo mkataba wa miaka 30 tuuone na vifungu vyake tujirizishe kama una maslai kwa watz bila hivyo tutazidai bandarn
HhahaaaJapo mrisho mpoto alijaribu kuchafua press ya watu kwa usaanii duni wa uchochezi japo kuna uelekeo wa ukweli.
Eti anasema wale wa mwanzo kabisa kukupinga kwa nguvu zote kuhusu mkataba huu leo hii nao wapo hapa kushuhudia mkataba huu ukisainiwa 🤔
Kuanzia leo mjijue na tec yenu kuwa ni irrelevant,kaeni mahalia penu pa kusamehe watch dhambi na kuwalisha sakramentSisi watoto wa mnyazi mungu hatu kubali hi hoja
Makasuku wa Chadema. Kiko wapi Sasa. Tuwaone wakiandamana Sasa!Mdude na Mwakibusi wapo live 🤣
cha muhimu wameshatujua mapema kabla hawajaingia kwamba wabongo sio djibut. tutaheshimiana sasa.Kwenye mikataba hyo ni kawaida. Lakini pia wana hiyo record kwenye nchi moja tu miongoni mwa nchi nyingi walizowekeza.
sema wewe na usiongelee wingi maana mii sio mkenya na sina imani na uongozi wake atapaswa aongeze ukali sanaWasi wasi wako Tu, watz tuna Imani na serikali ya dk Samia.
Wale watakua live huko mwakaleliMdude na Mwakibusi wapo live 🤣
Yaani wamekufa kiume!kwani hujaona miaka imeshushwa kutoka milele hadi 30 ? Wamesaidia sana na wabarikiwe!
Elewa tu kuwa Diamond atakuwa na miaka 62
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]Msijikoshe,mmepigwa katafunua
Naomba maoni yakoWewe umemwachia Mdude na Mwabukusi ukikenua tokea pande za Lumumba?
Ccm wanazo mbinu za ushindi [emoji817] walisha tumia 70 na hii ya kuwabwaga watu wa loma ni ya 71[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]TEC kwisha na Mjomba Mpoto akawapa za uso live
Vp waraka leo umesomwa kwa mara ya ngapi na kanisa takatifu la Mitume
Serikali inayo miimili 3 lakini 1 umejichimbia chini kuliko yote[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Japo mrisho mpoto alijaribu kuchafua press ya watu kwa usaanii duni wa uchochezi japo kuna uelekeo wa ukweli.
Eti anasema wale wa mwanzo kabisa kukupinga kwa nguvu zote kuhusu mkataba huu leo hii nao wapo hapa kushuhudia mkataba huu ukisainiwa [emoji848]
Wacha konakona, tumepigwa na waarabu au mshituko? Wasiwasi wetu tumepigwa na waarabu😡Tena mmepigwa na mshtuko wa ajabu, nilikuwa nawaona maaskofu walivyoliachia domo wazi.