Wamefura kwa hasira vipi wakati yaliyofanyika ndiyo waliyataka?Tec wamefura kwa hasira
Si ni nyie mlisema IGA ndo mkataba mama HGA haiwezi kwenda kinyume na IGA? Mmebadili gea angani tena.maaskofu walishapewa mwaliko na walijua wanaenda kwenye utiaji saini, hivyo it wasn't a surprise to them. na kama hujaelewa, kuna vipengele vingi tu vimebadilika, usije kuwa unapiga domo hapa ukifikiri hawajasikilizwa au upo kama vile awali, hujajua. Samia kasikiliza wananchi na kabaidlisha, walimwingiza king mama na walikuwa wanataka aharibikiwe ili apate shida kwenye uchaguzi 2025, amestuka na kawabwaga huko.
Wasiwai wako ndiyo maradhi yako.Wacha konakona, tumepigwa na waarabu au mshituko? Wasiwasi wetu tumepigwa na waarabu😡
Fundisho mujarabuHii itakuwa fundisho kwa TEC na wengine eti raia wengi hawataki unatoa tamko la kijinga kabisa eti Bandari yetu imeuzwa.
Naomba maoni yako
HGA na IGA ni vitu tofauti haviingiliani kabisa.Si ni nyie mlisema IGA ndo mkataba mama HGA haiwezi kwenda kinyume na IGA? Mmebadili gea angani tena.
Nimekuelewa madam. Pamoja sana.Wasiwai wako ndiyo maradhi yako.
Mwenyekiti wa kampuni ya Taifa Group, Rostam Aziz amekutana na Rais wa Zambia, Haikande Hichilema na kufikia makubaliano ya kuwekeza katika kuzalisha jmeme wa kutumia gesi nchini humo.Dangote alivyoanza oparesheni simenti alikua anauza elfu 7 kwa mfuko, hiyo ilikuwa ni Dar mwaka 2016, ila makampuni yaliyokuwepo tayari yakashinikiza kuwa bei ipande na kuwa elfu 11 kama wanavyouza wao, ikabidi Dangote afuate nyayo zao.
Basi sasa akina Mwabukusi waache kupayuka payuka😁Wamefura kwa hasira vipi wakati yaliyofanyika ndiyo waliyataka?
Umesoma ukaelewa kweli au umefungua uzi ili u-comment?
Hakuna mkataba uliosainiwa kabla ya huu.namshukuru kwamba amerekebisha vipengele, amesiikiliza ushauri na sauti ya watanzania. lakini, sioni kama ana strength za kutosha, kwanza ilikuweje akataka kuiiingiza nchi kwenye msala wa mkataba kama ule bila kugundua, manake washauri wake hana na sijaona kama amewachukulia hatua. hapo hatuwezi kusema ni strong. ingekuwa nchi za wenzetu alikuwa anatakiwa ajiuzulu mara moja kwasababu udhaifu wake umeonekana waziwazi na hana hata cha kujivunia kwenye mkataba huo, asije kuja kusema yeye ndiye alisaidia uwekezaji, watanzania ndio wamesaidia, yeye alikuwa anatupeleka shimoni kina mwabukusi wakatukomboa kwa msaada wa Mungu.
Sasa kama kila kitu kimerekebishwa mdude kwanini anaendelea kusema maandamano ya kupinga kuuzwa bandari yapo palepale tarehe 9 November? Huyu mdude ni kichaa?kichwa chako kimejaa kamasi. kama tusingesema nchi ilikuwa inaingia shimoni. hata Mh. Rais amekubaliana na sisi akaondoa vipengele vyote tata tulivyotaka viondoke, lakini wewe kwasababu ya dini ulikuwa radhi nchi itumbukie as long as mabwana zako waarabu watafaidi.
Akiri yako ndipo ilipoishia baada kuchutama na kurekibisha vifungu.Tec wamefura kwa hasira
Ni wenge lenu tu hakuna hakuna mkataba wowote uliosainiwa kabla ya huu wa leo.ni kweli lakini kama sio kelele tuliopiga ungepita mkataba wa ajabu sana nafrahi wameona watu wameamka sasa wakastuka.
Takatifu.....KANISA NI MOJA.........
Huko huko unakoona kupayuka ndiyo kumeleta matokeo haya,jifunzeni kuangalia mambo ktk angle nyengine zipeni siasa zenu limit ya kuzishabikia.Basi sasa akina Mwabukusi waache kupayuka payuka😁
Wameshushuka shuuu, wanajitowa kimasomaso tu.Za ndani ndani zinasema baada ya serikali kutaka kufanya uwekezaji bandari kwa ushirika na dp world ,kanisa katoliki lilitoa onyo kali juu ya vipengere kadhaa vya mkataba baada ya purukushani hiyo serikali iliamua kukaa meza moja na kanisa na habari za ndani zinasema baada ya ubishani kati ya Tec na serikali maridhiano yalifikiwa kwamba wanasheria wa kanisa na serikali washirikiane pamoja katika kurekebisha vipengere muhimu,,,baada ya hapo wakakubaliana sasa uwekezaji uendelee.