Lile kundi la watu wenye roho mbaya, jinsi walivyokunja sura zao leo, hawaishi tulipofika, sasa watanza kwenda mwendo wa usaliti kama kawaida yao.

Wale ni afadhali ya nyoka. Rangi rangire.
 
Ukiitwa mhuni utabaki kua mhuni kma wenzio
Eeh et tanzania itakua na haki ya kudai kodi🤪🤪🤪 lakini hapa hatuambiwi kwa sheria ipi na kanuni ipi nchi kama nchi itachukua kodi kwa sheria ipi na kanuni zipiiiii
 
Mkiambiwa hamuwezi kubishana na serikali mnabisha.

Waraka wa wiki sita, Umeisha kwa habari za Ndani kabisa, Na utekelezaji unaendelea. [emoji419][emoji375]
Tuliona sura ya ku regret ya saa100 mle kanisani,wenye macho ya rohoni majibu tunayo.
 
Kwa kauli za leo na kile tulichoona nakubali hii inaweza kuwa sawa.

Kwanza ni Mkataba au ni Makubaliano?😆😆😆
 
Mkiambiwa hamuwezi kubishana na serikali mnabisha.

Waraka wa wiki sita, Umeisha kwa habari za Ndani kabisa, Na utekelezaji unaendelea. 📌🔨
Ni Mkataba au ni Makubaliano?

Wapi IGA vs HGA?
Vipi Mkataba una ukomo au hauna ukomo?
Vipi Serikali inaweza kujitoa au haiwezi kujitoa?

Vipi nani atakusanya mapato?

Usicheze na Nguvu ya Umma ukiamua.

Kila la kheri Mama Samia umewakwepa wakuda wa ndani ya ccm na ufisadi wao walitala kukuingiza chaka.
 
Kama hoja gani wakati wao walitaka dp World asiwepo kabisa Kwa maelezo kwamba tuendeleaa kujenga uwezo wa ndani?
Kwa mtu kama wewe, hata alama zilizo wazi huwezi kuziona. Ni lini TEC walihitaji hongo ya Tsh100 milioni, na mengi mengine yanayofanywa kujikosha.

Hata hivyo, huyu mleta mada hata hadithi za uongo hana uwezo wa kuzitunga ili watu wajinga jinga waweze kudhani kuna ukweli ndani ya hadithi zenyewe!
 
Kila la kheri Mama Samia umewakwepa wakuda wa ndani ya ccm na ufisadi wao walitala kukuingiza chaka
Ninakubaliana na mengine yote uliyoweka kwenye bandiko lako, isipokuwa huo mstari mmoja tu.
Watanzania ni wepesi sana wa kuhadaiwa kirahisi, nawe huna tofauti yoyote nao.
 
Ninakubaliana na mengine yote uliyoweka kwenye bandiko lako, isipokuwa huo mstari mmoja tu.
Watanzania ni wepesi sana wa kuhadaiwa kirahisi, nawe huna tofauti yoyote nao.
Hahahahaa pale linapofanyikwa jambo jema kwa manufaa ya Taifa tutasema hata kama limefanywa na mchawi
 
Mamichango ya ujenzi wa kanisa, kukaa karibu na watumishi imeisha hiyo
 
Mpoto kawapa makavu gani?..sikutazama tukio

Mpoto kawaambia mlikuwa mnapinga lakini leo mmekuja na mtakula chakula tukimaliza.

Ambao ni ukweli.

Unaprotest vipi mikataba halafu wakati wa uzinduzi wa mikataba unaenda kushuhudia ? Umefuata nini, ubwabwa wa Ikulu au ku admire na kuwa feel waarabu wa DP World wananukia marashi gani ???

Kina Mbowe, Mwabukusi, Lissu, na Wachungaji wengine, thanks kwa kukataa kuja.
 
Chezea serikali na bado hamjasema mtasema tu tulieni na sindano imepigwa leo jumapili ili dawa iingie vizuri
 
Hao jamaa zako wakikataa kuja unafikiri kuna kitu kitabadilika?😁

Kutokuja registers protest, maana yake suala hili bado linapingwa na makundi muhimu ya kisiasa na kijamii. Kwa hivyo litaendelea kuwepo kwenye opposition campaign plank 2024 and wider public discourse going forward. Kama unaelewa nuance, yani matokeo au effect ya vitu ambavyo haviko wazo wazi.

President Samia, while cloaked in an honorobly religious hijab, continues at her role of leading the activities of a transnational criminal enterprise.
 
Kwa hiyo mkataba huu una maslahi ya TEC au ya nchi nzima?
 
Ulitaka ombeje, weka sala yako hapa.
 
Mkiambiwa hamuwezi kubishana na serikali mnabisha.

Waraka wa wiki sita, Umeisha kwa habari za Ndani kabisa, Na utekelezaji unaendelea. [emoji419][emoji375]
Serikali ndo imeufyata.
Imefanya marekebisho kwenye vile vipengele vilivyopigiwq kelele na TEC waka concent
 
Wamebadirisha vipengere vyote tata…
1. Mkataba maximum miaka 30
2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
4. Serikali itachukua 60% ya mapato au faida
5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata kuwa DP World)
7. Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.

*Hongera TEC kwa msimamo wenu pia Wanaharakati wote, na pengine Executive #1 alipoenda kumuona Mhashamu Kadnali pale Tabora alimpa brief kuwa TUMEZINGATIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…