Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanune vipi wakati bi.ushungi ndo alikuwa anahangaika kila uchwao vikao na maaskofu.Wameshushuka shuuu, wanajitowa kimasomaso tu.
Wamechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Leo yalikuwa yamenuna kweli.
Tuliona sura ya ku regret ya saa100 mle kanisani,wenye macho ya rohoni majibu tunayo.Mkiambiwa hamuwezi kubishana na serikali mnabisha.
Waraka wa wiki sita, Umeisha kwa habari za Ndani kabisa, Na utekelezaji unaendelea. [emoji419][emoji375]
Kwa kauli za leo na kile tulichoona nakubali hii inaweza kuwa sawa.Za ndani ndani zinasema baada ya serikali kutaka kufanya uwekezaji bandari kwa ushirika na dp world ,kanisa katoliki lilitoa onyo kali juu ya vipengere kadhaa vya mkataba baada ya purukushani hiyo serikali iliamua kukaa meza moja na kanisa na habari za ndani zinasema baada ya ubishani kati ya Tec na serikali maridhiano yalifikiwa kwamba wanasheria wa kanisa na serikali washirikiane pamoja katika kurekebisha vipengere muhimu,,,baada ya hapo wakakubaliana sasa uwekezaji uendelee.
Ni Mkataba au ni Makubaliano?Mkiambiwa hamuwezi kubishana na serikali mnabisha.
Waraka wa wiki sita, Umeisha kwa habari za Ndani kabisa, Na utekelezaji unaendelea. 📌🔨
Kwa mtu kama wewe, hata alama zilizo wazi huwezi kuziona. Ni lini TEC walihitaji hongo ya Tsh100 milioni, na mengi mengine yanayofanywa kujikosha.Kama hoja gani wakati wao walitaka dp World asiwepo kabisa Kwa maelezo kwamba tuendeleaa kujenga uwezo wa ndani?
Ninakubaliana na mengine yote uliyoweka kwenye bandiko lako, isipokuwa huo mstari mmoja tu.Kila la kheri Mama Samia umewakwepa wakuda wa ndani ya ccm na ufisadi wao walitala kukuingiza chaka
Hahahahaa pale linapofanyikwa jambo jema kwa manufaa ya Taifa tutasema hata kama limefanywa na mchawiNinakubaliana na mengine yote uliyoweka kwenye bandiko lako, isipokuwa huo mstari mmoja tu.
Watanzania ni wepesi sana wa kuhadaiwa kirahisi, nawe huna tofauti yoyote nao.
Mpoto kawapa makavu gani?..sikutazama tukio
Hao jamaa zako wakikataa kuja unafikiri kuna kitu kitabadilika?😁...Kina Mbowe, Mwabukusi, Lissu, na Wachungaji wengine, thanks kwa kukataa kuja.
Chezea serikali na bado hamjasema mtasema tu tulieni na sindano imepigwa leo jumapili ili dawa iingie vizuriZa ndani ndani zinasema baada ya serikali kutaka kufanya uwekezaji bandari kwa ushirika na dp world ,kanisa katoliki lilitoa onyo kali juu ya vipengere kadhaa vya mkataba baada ya purukushani hiyo serikali iliamua kukaa meza moja na kanisa na habari za ndani zinasema baada ya ubishani kati ya Tec na serikali maridhiano yalifikiwa kwamba wanasheria wa kanisa na serikali washirikiane pamoja katika kurekebisha vipengere muhimu,,,baada ya hapo wakakubaliana sasa uwekezaji uendelee.
Hao jamaa zako wakikataa kuja unafikiri kuna kitu kitabadilika?😁
Kwa hiyo mkataba huu una maslahi ya TEC au ya nchi nzima?Za ndani ndani zinasema baada ya serikali kutaka kufanya uwekezaji bandari kwa ushirika na dp world ,kanisa katoliki lilitoa onyo kali juu ya vipengere kadhaa vya mkataba baada ya purukushani hiyo serikali iliamua kukaa meza moja na kanisa na habari za ndani zinasema baada ya ubishani kati ya Tec na serikali maridhiano yalifikiwa kwamba wanasheria wa kanisa na serikali washirikiane pamoja katika kurekebisha vipengere muhimu,,,baada ya hapo wakakubaliana sasa uwekezaji uendelee.
Ulitaka ombeje, weka sala yako hapa.Siyo kweli. Hayo umeyatengeneza wewe.
Sala ya Askofu wa TEC inaeleza mengi. Askofu Liberatus Sangu wa TEC, katika sala yake fupi, tofauti na shekhe Mkuu, yeye hakuombea chochote kuhusiana na huo mkataba wala utiani saini, badala yake amewaombea viongozi wa Serikali wapate hekima, busara na uzalendo. Kisha aluwaombea waliopoteza maisha na kujeruhiwa huko Nzega.
We ni mjinga, hakuna mahali walikataa katu, wao waliomba urekebishweKama hoja gani wakati wao walitaka dp World asiwepo kabisa Kwa maelezo kwamba tuendeleaa kujenga uwezo wa ndani?
Serikali ndo imeufyata.Mkiambiwa hamuwezi kubishana na serikali mnabisha.
Waraka wa wiki sita, Umeisha kwa habari za Ndani kabisa, Na utekelezaji unaendelea. [emoji419][emoji375]
Nimeichongea fremu mkuuGharama za mizigo zitapanda.
Mtakuja kurejea hii comment miezi au mwaka mmoja baada ya utekelezaji wa mkataba kuanza.