...President Samia, while cloaked in an honorobly religious hijab, continues at her role of leading the activities of a transnational criminal enterprise.
Hicho kizungu chako cha ugoko hakinisumbui kitu. Ni ujinga tu na kutokujielewa😁😁😁
 
Endeleeni kujifariji enyi wagalatia msio na akili hakika aliyewaroga kafa, kanisa lilipinga mkataba kabisa kwa kigezo bandari iongozwe na watz sasa kilichozingatiwa ni kipi? Msijizime data
 
sio hoja za tec tu,serikali ilizingatia hoja muhimu za wadau wote,kwa kadri inavyowezekana
 
Safi sana
Hii iwe indicator kwa Bunge letu.
Liache kuwa rubber-stamp ya serikali.
Na kuishia kupiga makofi tu mswada ukiwekwa mezani.

Asante kwa Watanzania wote mliopinga ule mkataba wa awali, mlionesha Uzalendo wa Nchi yenu na kwa Vizazi vinavyo.
 
Very Good.
 
Mlikua na wenge tu hakuna mikataba yeyote iliyosainiwa tofauti na hii ya jana.
 
Mlikua na wenge tu hakuna mikataba yeyote iliyosainiwa tofauti na hii ya jana.
Lakini hii ya jana sio ile iliyopelekwa bungeni au kuwa inatetewa na wapambe kama Kitila, Silaa na hata Spika nk.
Mabadiliko haya ni kukubali kushindwa kwao
 
Ukiitwa mhuni utabaki kua mhuni kma wenzio
Eeh et tanzania itakua na haki ya kudai kodi🤪🤪🤪 lakini hapa hatuambiwi kwa sheria ipi na kanuni ipi nchi kama nchi itachukua kodi kwa sheria ipi na kanuni zipiiiii
Kaa kimya nyumba yako tu imekushinda utayaweza yamikataba?uaunataka tuseme yote?
 
Sasa siungetaja hivyo kipengele? Au umekurupuka kuharisha porini?
 
Mnajifariji tu baada ya kua mmedharauliwa, Tec mnaipa umuhimu isiokua nao, umuhimu wa Tec ni makanisani mbele ya Serikali ni raia tu kama raia wengine.
 
We akiliyako namawazo yako unafikiri ukikaa kimya bila kujuwa mshindi unahisi kanisa kanisa limepuuzwa hivyoitaoneka halina ushawishi nchini nakulitanguliza mbele wanasheria wakanisa ndiowaliofanya vile navile.tukwambie jopo lilikuwa kubwa kilawadau wamewakilishwa mwisho wasiku serekali imekamilisha mambo iliyoyataka ilimaendeleo yapatikane.
 
Imetoka hiyo
 
Mrisho kaongea ukweli au uongo?
 
Umeonyeshwa huo mkataba??na umeshuhudia ya kuwa vipengele vilivyo ainishwa vyenye utata vimerekebishwa??au Una leta stori za kwenye gazeti la Raia Mwema??
 
"Wamebadirisha vipengere"="Wamebadilisha Vipengele",,alafu hayo mabadiliko umeyaona au wanakondoo mnafuata upeo wa Baraza njaa la hao maaskofu!!
 
Umeuona huo mkataba??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…