Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100
Mkataba waliyoingia serikali na dp world kuhusu uendeshaji wa bandari ni kati ya vitu vilivyonifurahisha sana wiki hii nadhani hata akina mwambukusi na mdude sasa hv watakuwa wamefurahi maana asilimia kubwa waliyoyataka ndio yapo kwenye mkataba na wamechangia pakubwa inawezekana wangekuwa kimya mkataba ungekuwa tofauti na huu,utoaji wao wa maoni rais amewasikia kilichobaki kuwapa support wawekezaji nchi isonge mbele
 
Binuka nikubamize kwa mpalange.
Haiiii nawe kila goli likiingia kunako nyuma wewe ni Binuka nikubamize tuuuu kwani basi hata kama nakukoboa vizuri badilisha basi maneno ya mahaba nami nijisikie nipo kunako Mnanato 😀 😀 😀 Jamani Utanisameee My Beibi kama nimekukwaza I Lavyuuuuu mwaaaaaaa
 
Haiiii nawe kila goli likiingia kunako nyuma wewe ni Binuka nikubamize tuuuu kwani basi hata kama nakukoboa vizuri badilisha basi maneno ya mahaba nami nijisikie nipo kunako Mnanato 😀 😀 😀 Jamani Utanisameee My Beibi kama nimekukwaza I Lavyuuuuu mwaaaaaaa
Binuka nikubamize kwa mpalange.
 
Habari zenu.

Napenda kumpa pongezi raisi wetu wa Tanzania MAMA SAMIHA SALUHU,Na viongozi wote waliohusika kwenye kupambana mkataba huo.

Kwanza mkataba ni wa miaka 30 sio mkataba wa miaka 100 kama tulivyokuwa tunadanganywa na watu wenye chuki ya maendeleo.

Pili mkataba unabadilika kila baada ya miaka 5,ambapo tunakaa chini na hao D.P WORLD na kudiscuss jinsi ya kuiboresha mkataba kila baada ya miaka 5. Na kama tukiona huo mkataba hautufaidishi tunaweza upiga chini na kuachana nao na hakuna atakuaye pata hasara maana ni kipengele kilichopo kwenye mkataba huo.

Tatu mkataba umeegemea kwetu kwa kiasi kikubwa,asilimia 60 mpaka 70.

. Faida tukazopata kwenye huo mkataba.
1.Uwepo wa ajira za kutosha.
2.Bandari itatengenezwa vyema
3.Pesa tutakazopata zitaenda kuleta maendeleo kwenye sekta mbalimbali,mashuleni,mahospitalini kila sekta itanufaika.

Kwa nchi zinazoendelea bandari ni kitu cha muhimu sana,wenzetu wa Kenya wameboresha bandari yao ya Mombasa vyema na imekua bandari kubwa Africa,na sasa wanajenga nyingine lamu,wanapokea meli kubwa za kila nchi na kuna mataifa wanatumia bandari hiyo kushusha mizigo yao,wametupiga bao sana.

Tumsupport raisi wote,maana anaupiga mwingi.

..watawekeza usd 250 million.

..sasa hebu jiulize kama Tz haina fedha hizo.

..huu ni ULAJI tu wakubwa serikalini wametengeneza.
 
Hivi na hizo Corridors mbili ya Southern hadi Tunduma na Central hadi Rusumo zimo kwenye utiaji wa Kidole Akhui?

o.jpg
 
Back
Top Bottom